The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Mchungaji nasikia na wewe unatuhumiwa kuuza madawa kuna sehemu nimeona kama jina lakoKupungua ni dalili za kuisha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchungaji nasikia na wewe unatuhumiwa kuuza madawa kuna sehemu nimeona kama jina lakoKupungua ni dalili za kuisha!
Mchungaji nasikia na wewe unatuhumiwa kuuza madawa kuna sehemu nimeona kama jina lako
Hahahahaa Babu wala si uchunaji natii amri ya Babu Mchungaji! Au nimtumie soft copy ya konyegi? Afu babu, bibi alisema mimi sikuwahlala kitandani wakati niko mtoto je ni kweli?Haya salimia Eliza wa jeijeiKhaaaaaaaaa! Mjukuu mtiifu utatii atakachokwambia? Afu huo mpango wa kutumia DHL ndo uchunaji ushaanza au? Ntakusemea kwa bibi akucharaze kama kipindi kile wakati unakojoa kitandani.Babu anawatakieni Wikiendi njema....Kuna watu wananisubiri JJ pa ukeee pale!Kwaherini watoto na wajukuu wote!
Mie niliishaipigania ile avatar nyingine mpaka ikarudishwa (MJ1 anaweza kuwa shahidi wa hili 🙂 )lakini hii ya sasa poa tu. Ngoja ajidai nayo kwa muda labda baada ya kutambua ile ilikuwa na Wapenzi wengi basi siku za usoni inaweza kurudishwa