Matukio mengi kwa kulinganisha na mwezi gani? Kumbuka kila mwezi una matukio yake yanayotofautiana na mwezi mwingine...Matukio mengi yametokea mwezi huu wa nne
aisee au nawe ni msanii?Hata mke wangu wa kwanza na binti yangu walifariki mwezi wa nne miaka iliyopita
umeona yani ndio maane nikasema mengine ya raha mengine nuksiMwezi wa NNE huo yesu kafufuka
kwa hiyo wewe unanichagulia cha kuandika? kwenye kichwa cha habari nimeanza nakifo au wewe ndio unarukarukaUmeshindwa kuoanisha aina ya matukio.. umerukaruka na mambo mengine hayana connection..
Kama ulitaka kuzungumzia vifo vya watu maarufu ungestick haphapo... kama ni matukio makubwa ya kisiasa ungegonga hapo hapo n.k
Sasa mara huyu kafungwa, kule maandamano, mara zitto, mara Wenger duuuh
Kiuhalisia matukio mchanganyiko ni mengi kila mwezi....