Kulikoni mwezi wa nne kila mwaka ni wasanii? Angalia matukio yao tukianza na Kanumba.

Kulikoni mwezi wa nne kila mwaka ni wasanii? Angalia matukio yao tukianza na Kanumba.

Duuh nimefungua nikadhan my b
Kanumba,ngwea,sharobilionea,mez b,Mr ebbo,jeyz mabovu,nk watakuwa walipoteza maisha mwezi wa NNE..

Hakika sijakuelewa maana hata mwezi wa3 kuna matukio amazing astonishing
 
Na bado mambo yanaendelea tu, maana tunasubiria 26/04/2016
Muungano day
 
Kwani miezi mingine huwa haina matukio?
 
Hata mke wangu wa kwanza na binti yangu walifariki mwezi wa nne miaka iliyopita
 
Umeshindwa kuoanisha aina ya matukio.. umerukaruka na mambo mengine hayana connection..

Kama ulitaka kuzungumzia vifo vya watu maarufu ungestick haphapo... kama ni matukio makubwa ya kisiasa ungegonga hapo hapo n.k

Sasa mara huyu kafungwa, kule maandamano, mara zitto, mara Wenger duuuh

Kiuhalisia matukio mchanganyiko ni mengi kila mwezi....
 
k

kwa hiyo wewe unanichagulia cha kuandika? kwenye kichwa cha habari nimeanza nakifo au wewe ndio unarukaruka
 
Maskini Msanii Dalila hatunaye kafuatana na msanii mwingine aliyeimba umeondooka Swahibaaa
 
Back
Top Bottom