ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Page hiyo ilifutwa, saa chache ilirejeshwa huku sehemu ya comment ikiwa offKumbe ndio iko hivyo!
Sasa kulikua na haja gani ya kumfanya afute page yake?
Au alikua anashambuliwa dm nini?
Nintumie na mimiCheck inbox nimekutumia.
Kaka nitumie na mimiNiliyowatumia hiyo clip inbox naomba mtumiane na wengine.
Msimamo wangu uko palepale aje mtu atuthibitishie huyo ni Kabwili? Amemtambuwa vipi?
🤒Kaka nitumie na mimi
Nitumie na mimi mkuuNimeio
Nimeona kaka . It was heavy unto mine heart.
Namimi naiomba mkuuCheck inbox nimekutumia.
⛹️Hata hivo anavaa kibwabwa sana kwahiyo kushikishwa ukuta inawezekana
Wewe ndiye umefundisha huyu dogo hako kamchezo kachafu? Huendi mbinguniMashabiki wa makolo hawana akili kwa haya mnayofanya
We umeshapewa connection bhas kaa kwakutulia, fanya kuiforwad pmNi dhulma. Wana mfanyia dhulma kijana Kabwili. Dhulma dhidi ya heshima Na utu wake. Mungu akawalipe wote wanao mnenea kijana WA watu maneno maovu kiasi hicho
Mnakumbuka Manara alivyomzushia Kitenge swala la kuliwa kiboga ulaya? Matatizo mmeyakumbatia huko.Swala hili limemgusa sana hata akaamua kuzuia ukurasa wake wa Instagram saa chache badae alirejesha lakini ali switch off commenting
Eeh si ulinifundisha!Wewe ndiye umefundisha huyu dogo hako kamchezo kachafu? Huendi mbinguni
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Acha kumtumia yesu kwenye maombi yako ya kishetani.Muogopeni Allah!!! Acheni kumnenea kijana wa watu maneno mabaya kama hayo. Ninyi wote mnao msema Kabwili Ni shoga wakati hamjawahi kumkuta live akiwa anashughulikiwa , ikawe hivyo Kwa watoto wenu WA kiume. Watoto wenu wote wa kiume wakawe mashoga . In Jesus Name . Amen
Shetani mama akoAcha kumtumia yesu kwenye maombi yako ya kishetani.
Inasikitisha sana, mimi siwezi kabisa nahisi kinyaa hata nikiwekewa hela mezani niangalie..Hivi mtu unajisikia raha gan unapoona mwanaume mwenzio anafukuliwa tope? naona mijitu imekazana tu "nitumie na mm" ujinga mtupu.