Kulikoni Ramadhani Kabwili (Football player)

Kulikoni Ramadhani Kabwili (Football player)

Niliyowatumia hiyo clip inbox naomba mtumiane na wengine.

Msimamo wangu uko palepale aje mtu atuthibitishie huyo ni Kabwili? Amemtambuwa vipi?
Nitumie pm mkuu nithibitishe.

KichWa bOX
 
Niliyowatumia hiyo clip inbox naomba mtumiane na wengine.

Msimamo wangu uko palepale aje mtu atuthibitishie huyo ni Kabwili? Amemtambuwa vipi?
Mkuu niwekee na mie basi hako ka video. Mimi nitakuja na majibu ya ama ni yeye,ama si yeye.
 
dkk 10 zilizopita nimeongea na jamaa yngu fulani yupo Sweden ndo ananipa habari za huyu dogo,ikanibidi niingie humu kuangalia kama kuna uzi unaomhusu na kweli nimeukuta maana wasije wakawa wanamsingizia
 
kabwili
ukijaribu kufanya hilo tendo labda ktk michezo ya utotoni, shukuru kama Spirit za Ushoga hazitakuingia.
Lakini kama Spirit za Ushoga zilikuingia basi huwezi kuacha kitendo hicho kamwe.
Kuna mtu alikufanyia hivyo kwa makusudi ya kukuambukiza hizo Spirit ni kama alikuingiza kwenye ulimwengu wa Ushoga bila wewe kung'amua na ni Ajent wa Ibirisi Shetani Lusifer, na wako wengi sana mitaani.
Mambo ya magic yanahusika hapo.
Mapepo ya Ushoga yalikuingia na kamwe Kwa nguvu zako huwezi kuuacha Ushoga.
Sisi waalimu tunachukua kitendo hicho kama makosa ya kutokufahamu hatari ya kujaribu vitendo hivyo.
Hapo inabidi ufanye jambo moja tu.
Mtafute Mtu wa Mungu, yaani Mchungaji aliye simama kama
Mwalimu Mwakasege wa Arusha, Au Mchungaji Katunzi wa Mtoni Mtongani Temeke. Au wengine na sio hao manabii Vijana wa miujiza.

(mwone kwa siri atakuombea kwa siri)

Akufanyie maombi ili kuyaondoa hayo Mapepo ya Ushoga ambayo yule uliyecheza naye alikuingizia Kwa makusudi na kwa nia mbaya kabisa.
Ni kama alikuroga, aliku
(initiate into cult of sodomy)
bila wewe kujua ili uwe addicted na huo mchezo ili ikiwezekana hata usioe kabisa na kuzaa watoto na kujenga familia ili uende kinyume na maagizo ya Mwenyezi Mungu aliyekuumba.
Nasema tena tafuta Mchungaji aliyesimama kama niliokutajia hapo juu.
Ili wakuombee, Mungu Ayaondoe hayo Mapepo ya Ushoga uliyoingiziwa.
La sivyo hata ufanye nini, huwezi kuuacha huo mchezo kamwe. Mapepo yanaondoka kwa njia moja tu, nayo ni Maombi ya mtu wa Mungu, mwenye nguvu za Kimungu.

NB: Vijana sio kila mnaokutana nao na kucheza nao wana nia njema na nyinyi.
Mjihadhari kwa kila mnachofanya hasa kikiwa kinyume na Neno la Mungu.

Pole sana kijana.
najua ufahamu mdogo ulipelekea kuruhusu mtu mwovu kukudhuru. Chukua hatua sasa kabla ya hali kuwa mbaya zaidi.

(Nasema hayo kupitia lile jina pekee ambalo kwalo kila binadamu apaswa kuokolewa.
Jina la Masihi Pekee, Jina la Yesu Kristo wa Nazareth)
Amen[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom