Kulikoni Ramadhani Kabwili (Football player)

Sasa kosa la mtu likaangamize hadi watoto wake?
 
Nilichogundua hapa kuna wachangiaji wanaoenda na biti na kuflow nayo kweli kumbe hawana kitu chochote video hawana walanini wanatupa matango pori tu wanatuchosha tu maana tangu watu tuanze kuiomba hakuna hata aliyetumiwa huko pm
 
Kabwili jikaze dogo, umelegea sana
Kati ya watu Nilikuwanawaheshimu Sana humu JF Kwa ushabiki wa soka ni wewe. Lakini ghafla nimekushusha hadhi sababu ya kuegemea ushabiki na vitu visivyo na uthibitisho.

Huwezi kushabikia tuhuma ya ovyo kiasi hiki Kwa picha ambayo haioneshi sura ya Mtu halafu ukaungana na kundi la mashabiki maandazi àmbao wako tayari kushusha utu wa mtu yeyote Kwa sababu tu ya Uyanga na Usimba.

Nakwambia wewe Kwa sababu Kati ya mashabiki wa hizi timu mbili Nilikuwa nakuweka kundi la wajuzi wewe na Shadeeya na Gentamycine. Lakini mnapokuja na personal criticism zisizo na ushahidi kisa tu anayesemwa ni wa timu pinzani mnakuwa Hamna tofauti na kina Kinuju.
 
Kati ya watu Nilikuwanawaheshimu Sana humu JF Kwa ushabiki wa soka ni wewe. Lakini ghafla nimekushusha hadhi sababu ya kuegemea ushabiki na vitu visivyo na uthibitisho. Huwezi kushabikia tuhuma ya ovyo kiasi hik...
pole mkuu naona umehamaki. Ninamsisitiza Kabwili ajikaze kama mwanaume naona kalegea kama binti. Kwanza ziliporushwa tu hizi tuhuma akaficha account ya insta.

Baadae akarudisha lakini no comment. Ndio maana tunamwambia akaze. Kingine ambacho hukijui hizi sio tuhuma tena,kuna tunaojua zaidi ya hiyo video. Nachangia humu kama mtu ninayechukia maswala ya ushoga na yanayofanana na hayo
 
Ushabiki wa kipumbavu sana huu basi unakuta mtu kakomaa ilimradi tu amchafue mtu sijui ni umasikini unatusumbua yaani mtu anaona kumzushia mtu kitu itapunguza makali ya maisha

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Nadhani jnapoongelea umasikini unakuwa umepatia hasa. Umasikini wa fikra ni mbaya Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…