Kulikoni Ruby kakumbwa na nini?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Nimesikiliza East Africa Breakfast ya jumapili Leo, East Africa Radio mtangazaji anamwonya Ruby bado tunakupenda na tunakuhitaji, anamalizia kwa kusema chondechonde. Hakutaka kuweka mambo hadharani Redioni.

Je Ruby kakumbwa na nini jamani?
 
Nini, sijui chochote

Stress ndio huwa zinawaharibia hawa wasanii, disappointment za kutosha kwenye kazi zao , wanategemea makubwa na maisha safi tofauti na uhalisia mwisho wa siku wanaishia kwenye mambo yaajabu kwa imani kuwa watatoa Stress, ila kwa kesi ya huyu huwezi kuepuka kuwataja "MAWINGU FM"
 
Nimesikiliza East Africa Breakfast ya jumapili Leo, East Africa Radio mtangazaji anamwonya Ruby bado tunakupenda na tunakuhitaji, anamalizia kwa kusema chondechonde. Hakutaka kuweka mambo hadharani Redioni.

Je Ruby kakumbwa na nini jamani?
kuna siku ruby alikuja ofisini kwangu kwa mazungumzo ya kibiashara... the way nilivyomuona hakuwa sawa yule binti.

kwanza si msafi,yaani hana ule usafi wa kike, yupo rough hivi,ana kauwembamba kasiko ka kawaida,sauti yake akiongea inakwaruza sana.

mawili:anavuta sana bangi au teja. ni hayo tu.
 
Nimesikiliza East Africa Breakfast ya jumapili Leo, East Africa Radio mtangazaji anamwonya Ruby bado tunakupenda na tunakuhitaji, anamalizia kwa kusema chondechonde. Hakutaka kuweka mambo hadharani Redioni.

Je Ruby kakumbwa na nini jamani?
Yeah niliwah kumiona kwenye maeneo flan,in short ana over reaction na panic za hovyohovyo,sijui ni ngada au stress

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…