Mleta mada mwenyewe hakuweza ng'amua kwann Ruby anajadiliwa kwa kuonywa. Ndio maana kaileta hii mada kwa namna ya swaliMkuu fundi bishoo tatizo la taifa hili ndio hilo kaka, kitu kidogo tu siasa. Sasa wewe Radio inasikilizwa na watu wa rika zote na unamzungumzia msanii kwa nini usiweke wazi badala ya kupiga blah blah unaongea kwa mafumbo ili iweje? kama umeamua kuongea ukweli ongea tu ama laa basi nyamaza? Halafu wanakuja watu wanawapa rank hawa watangazaji uchwara.
Ukweli 100%"Maisha ni mchanganyiko wa taabu nyingi sana,zilizo ambatana na chembe chembe ndogo sana za raha ambazo hazikawii kuyeyuka".
Mwamuzi wa Maisha yako ni wewe Mwenyewe.
Also,Happiness is a choice.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ndo zako, basi sawa... @iamrubyafrica
Ruby kapozwa na stress, Nandy kampeleka putaaa.
Washkaji wakamwonjesha sukari, nae akalamba.
Akataka tena na tenaaa.
Sasa nasikia anapigwa mpk threesome