gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,692
Mleta mada mwenyewe hakuweza ng'amua kwann Ruby anajadiliwa kwa kuonywa. Ndio maana kaileta hii mada kwa namna ya swaliMkuu fundi bishoo tatizo la taifa hili ndio hilo kaka, kitu kidogo tu siasa. Sasa wewe Radio inasikilizwa na watu wa rika zote na unamzungumzia msanii kwa nini usiweke wazi badala ya kupiga blah blah unaongea kwa mafumbo ili iweje? kama umeamua kuongea ukweli ongea tu ama laa basi nyamaza? Halafu wanakuja watu wanawapa rank hawa watangazaji uchwara.