Kulikoni st marys school?

Kulikoni st marys school?

Head current

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
479
Reaction score
128
Heshima kwenu wana jf! husika na kichwa cha hbr, katika mizunguko yangu leo mchana nilikwenda na rafiki yangu shule ya st marys iliyopo eneo la mbezi beach DAR, na dhumuni la kwenda kule lilikuwa ni kuwatembelea watoto wake wanaosoma hapo, maana wana utaratibu wa wazazi kuwatembelea watoto kila jumapili ya kwanza ya mwanzo wa mwezi; Sasa kilichonishangaza ni kuwa hiyo shule haina utaratibu wa ibada kwa wanafunzi, kwa maana kwa wanafunzi wakristo au waislam hakuna utaratibu wowote wa ibada; Sasa swali langu ni kwamba ikiwa umempeleka mwanao pale na hakuna utaratibu wowote wa ibada na ukute umwanzisha boarding nursery mwanao au wanao hadi wamalize kidato cha sita ni malezi gani ya kiimani anakuwa nayo mwanao? na ukizingatia muda mwingi mwanao anakuwa shuleni na pia hata vipindi vya dini hakuna na ukizingatia mkurugenzi wa shule hizo ni mchungaji Getrude rwakatale! ss hapa haya mambo yakoje? au wenzangu mnaonaje??
 
Back
Top Bottom