Kulikoni: Television nyingi hapa nchini kwa sasa zinatangaza zaidi habari za Kanda mbili; Kusini na Kanda ya Ziwa

Kididimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
4,153
Reaction score
3,800
Nimefanya utafiti mdogo kwa siku za karibuni nikagundua hilo. Television zinazoongoza ni TBC 1, Chanel Ten, ITV, na Star Tv.

Hii ni hususan katika vipindi vya Taarifa za habari na makala maalumu za kiuchunguzi au Maendeleo.

Mfano: Inarushwa habari ya Masasi, inafuatia ya Songwe, Chato au Mwanza then inarudia ya Tunduru, Songea nk.

Huu mfumo haukuwepo hapo awali.
 
Kuna ubaya kwani? Mlizoe kaskazini tu. Tanzania ni moja boss.

macson
Mkuu, kutangazwa kanda yetu tuu ya Kusini kutatunyima fursa ya kujua kinachoendelea huko kwingine.
 
Nimefanya utafiti mdogo kwa siku za karibuni nikagundua hilo. Television zinazoongoza ni TBC 1, Chanel Ten, ITV, na Star Tv.

Hii ni hususan katika vipindi vya Taarifa za habari na makala maalumu za kiuchunguzi au Maendeleo.

Mfano: Inarushwa habari ya Masasi, inafuatia ya Songwe, Chato au Mwanza then inarudia ya Tunduru, Songea nk.

Huu mfumo haukuwepo hapo awali.
Nataka uweke hapa full data za utafiti wako. Weka pia na methodology yako. Hii itasaidia kuondoa mashaka ya aina ya syndrome unayougua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Methodology: Visual counting + manual tallying of zonary news in 6 potential TV stations: Duration : 2 months, Oct to Dec 2019. Statistical analysis: Spss to determine frequecies and percentages of appearance of zonary news. Results; 35%, 30%, 20%,,18% for Southern,Lake,Centra/ East and the rest respectively .
Discussion: .........( JFmembers inclusive) .
 
Nimefanya utafiti mdogo kwa siku za karibuni nikagundua hilo. Television zinazoongoza ni TBC 1, Chanel Ten, ITV, na Star Tv.

Hii ni hususan katika vipindi vya Taarifa za habari na makala maalumu za kiuchunguzi au Maendeleo.

Mfano: Inarushwa habari ya Masasi, inafuatia ya Songwe, Chato au Mwanza then inarudia ya Tunduru, Songea nk.

Huu mfumo haukuwepo hapo awali.
Yaani mkuu unakaa kabisa unaangalia taarifa ya habari kwenye TV za kitanzania sasa hivi!?huna smart phone!?mimi habari zote nazipata kwenye simu kwenye vyanzo ambavyo havina maelekezo toka juu
 
Methodology: Visual counting + manual tallying of zonary news in 6 potential TV stations: Duration : 2 months, Oct to Dec 2019. Statistical analysis: Spss to determine frequecies and percentages of appearance of zonary news. Results; 35%, 30%, 20%,,18% for Southern,Lake,Centra/ East and the rest respectively .
Discussion: .........( JFmembers inclusive) .
 
Methodology: Visual counting + manual tallying of zonary news in 6 potential TV stations: Duration : 2 months, Oct to Dec 2019. Statistical analysis: Spss to determine frequecies and percentages of appearance of zonary news. Results; 35%, 30%, 20%,,18% for Southern,Lake,Centra/ East and the rest respectively .
Discussion: .........( JFmembers inclusive) .
Vv
 
Back
Top Bottom