Nataka uweke hapa full data za utafiti wako. Weka pia na methodology yako. Hii itasaidia kuondoa mashaka ya aina ya syndrome unayouguaNimefanya utafiti mdogo kwa siku za karibuni nikagundua hilo. Television zinazoongoza ni TBC 1, Chanel Ten, ITV, na Star Tv.
Hii ni hususan katika vipindi vya Taarifa za habari na makala maalumu za kiuchunguzi au Maendeleo.
Mfano: Inarushwa habari ya Masasi, inafuatia ya Songwe, Chato au Mwanza then inarudia ya Tunduru, Songea nk.
Huu mfumo haukuwepo hapo awali.
Methodology: Visual counting + manual tallying of zonary news in 6 potential TV stations: Duration : 2 months, Oct to Dec 2019. Statistical analysis: Spss to determine frequecies and percentages of appearance of zonary news. Results; 35%, 30%, 20%,,18% for Southern,Lake,Centra/ East and the rest respectively .Nataka uweke hapa full data za utafiti wako. Weka pia na methodology yako. Hii itasaidia kuondoa mashaka ya aina ya syndrome unayougua
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mkuu unakaa kabisa unaangalia taarifa ya habari kwenye TV za kitanzania sasa hivi!?huna smart phone!?mimi habari zote nazipata kwenye simu kwenye vyanzo ambavyo havina maelekezo toka juuNimefanya utafiti mdogo kwa siku za karibuni nikagundua hilo. Television zinazoongoza ni TBC 1, Chanel Ten, ITV, na Star Tv.
Hii ni hususan katika vipindi vya Taarifa za habari na makala maalumu za kiuchunguzi au Maendeleo.
Mfano: Inarushwa habari ya Masasi, inafuatia ya Songwe, Chato au Mwanza then inarudia ya Tunduru, Songea nk.
Huu mfumo haukuwepo hapo awali.
Methodology: Visual counting + manual tallying of zonary news in 6 potential TV stations: Duration : 2 months, Oct to Dec 2019. Statistical analysis: Spss to determine frequecies and percentages of appearance of zonary news. Results; 35%, 30%, 20%,,18% for Southern,Lake,Centra/ East and the rest respectively .
Discussion: .........( JFmembers inclusive) .
Ajabu!Dunia hii ya leo ..unakaa kabisa unaangalia taarifa ya habari?!! Tena hizi za tanzania hii?
VvMethodology: Visual counting + manual tallying of zonary news in 6 potential TV stations: Duration : 2 months, Oct to Dec 2019. Statistical analysis: Spss to determine frequecies and percentages of appearance of zonary news. Results; 35%, 30%, 20%,,18% for Southern,Lake,Centra/ East and the rest respectively .
Discussion: .........( JFmembers inclusive) .