Kulikoni tena hizi gari mpya za mwendokasi? Hatujapigwa kweli?

Gari lenyewe lina rangi ya ccm, upigaji lazima uhusike
 
Hizo gari zitawaumbua
Serikali waingie ubia na taasisi ni ngumu mno serikali hii iliyojaa rushwa kuendesha biashara hata ya kuuza karanga
 
Wenyewe wanakuambia ni 0km!

Magari tunayonunua walalahoi yanakuja na 100,000Km na hayasumbui mapema hivi.
 
Kifo cha nyani miti yote inatereza...

kweli naanza kuamini mwisho wa ccm umefika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…