Kulikoni Tena Kenya?

Kulikoni Tena Kenya?

Tumbo Tumbo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
1,278
Reaction score
1,553
Wabunge wawili wa Kenya wakamatwa Kenya Intenational Airport wakiingiza Fedha Feki nchini Kenya...... Nimeshindwa Kuweka Video
 
Nchi haina mwenyewe acha kila MTU afanye anavyojisikia mimi mwenyewe ningekua kenya ningejilimia bange za kutosha maana huko sijawai ona hata bangi kukamatwa wala mashamba kuchomwa...
#kenya nchi isiyo na serikal
 
Hayo ndiyo maisha mijitu ya kupingapinga tanataka tuishi ili tuwe na democrasia
 
Kenya ni shamba la bibi asiye na wajukuu.
Kila mtu anafaidi na kuiba tu.
 
Back
Top Bottom