Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,553
Wabunge wawili wa Kenya wakamatwa Kenya Intenational Airport wakiingiza Fedha Feki nchini Kenya...... Nimeshindwa Kuweka Video
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ndiyo maisha mijitu ya kupingapinga tanataka tuishi ili tuwe na democrasiaNchi haina mwenyewe acha kila MTU afanye anavyojisikia mimi mwenyewe ningekua kenya ningejilimia bange za kutosha maana huko sijawai ona hata bangi kukamatwa wala mashamba kuchomwa...
#kenya nchi isiyo na serikal
Mapinzani yatasema tuige kenya ili tukuze uchumi
The Real Definition of BABANA REPUBLICKenya ni shamba la bibi asiye na wajukuu.
Kila mtu anafaidi na kuiba tu.