Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,553
Hayo ndiyo maisha mijitu ya kupingapinga tanataka tuishi ili tuwe na democrasiaNchi haina mwenyewe acha kila MTU afanye anavyojisikia mimi mwenyewe ningekua kenya ningejilimia bange za kutosha maana huko sijawai ona hata bangi kukamatwa wala mashamba kuchomwa...
#kenya nchi isiyo na serikal
Mapinzani yatasema tuige kenya ili tukuze uchumi
The Real Definition of BABANA REPUBLICKenya ni shamba la bibi asiye na wajukuu.
Kila mtu anafaidi na kuiba tu.