Kulikoni timu za mpira toka Kaskazini(Arusha,Manyara na Kilimanjaro)

Mpira wa TZ una faida kiasi gani kiuchimi mpaka mchaga a risk biashara zake na kwenda kucheza mpira?..Tizama opportunity cost hapo..
Kwa TZ mpira hauna faida kiasi hicho kiuchumi mpaka watu waache kufanya biashara zao waende kuchezea vitimu,Sijui Ruvu shooting,majimaji n.k.Ili iweje labda?..Unacheza mprira miaka 10 hakuna chochote cha maana unachopata.
Mpira chezeni nyie wazaramo bana.
 
Mkuu hii mikoa sio lazima kuwe na timu, ila the best managers, na viongoz wa mpira ndio wanakotokea...
Ndio mikoa inayotoa wasomi, watoto wakitoka shulen jion wanaenda tuitions, mafundisho ya masakraments ya kanisa..
Hata sisi bukoba huku "kagera sugar" tunafanya kufosi tu. .

Rejea nchi kama islaeli, usa, china, japan n.k
Ni nchi zilizo base sana kwenye taaluma, so wamekubali wao kuburudushwa ila sio wao kuburudishwa
 
Umeambiwa wachezaji wa kichaga au timu ?? Mbona uelewa mdogo

Mbona klabu ya kitayosce inashiriki ligi daraja la 1 na Kilimanjaro heroes zote zimeshiriki ligi daraja la kwanza na mashabiki walikuwa wanajazana uwanjani????


Singida utd lkn hakuna hata mchezaji mmoja mzawa kutoka singida wote foreigners

Yanga ajibu pekee ndio mzawa wote foreigners

Kagera sugar hivyo hivyo


Je mashabiki wa huko hawapendi mpira mbona uwanjani wamejazana pomoni kutizama wenzao wakicheza ligi daraja la kwanza na kila weekend wanafungulia radio kuwasikiliza na kuwashabikia yanga na simba


Vilabu kama kitayasco na Kilimanjaro heroes wangepata sapoti ya kutosha na usajili ingeweza kupanda ,naamini mashabiki huko wangependa weekends wapate burudani ila viongozi wa vyama vya soka huko wanakula mishahara bure na kulala

Mind you hakuna klabu inatumia mchaga au mmakonde au mmasai au mzaramo Bali inafanya usajili ndio maana coastal imepanda kwa kuwasajili ma-pro wazoefu
 
Nimekuwepo huko watu walikuwa wanajaa huko viwanjani kufuatilia ligi daraja la kwanza tena wamejaa haswa ila viongozi wa vyama vya soka huko wanakula mishahara bure na kulala

Watu huko wangependa kila weekend kupata burudani ila ndio hivyo sapoti ya madon na viongozi ni ndogo

Israel wana ligi yao ya mpira na watu wanajazana viwanjani ,maccabi tel Aviv ,maccabi Haifa nk nk ,China wana ligi ya mpira ila national team yao mbovu ila ligi ipo

Je mashabiki huko hawapendi na hawatamani ???kwanini hao viongozi wasitoe mipango ,mikakati ili vilabu vya Kilimanjaro heroes ma kitayosce zipande ,?kama inatoa viongozi wzr
 
Hivi nimesokia timu inaitwa KCMC nikadhani ni ya Moshi
 
Madau, alafu mikoa mingine ambayo timu zao zimepanda, figisu figisu na uswaili ikiwemo mizengwe ilikuwa mingi sana....
Hii mikoa, ni mikoa ya wasomj alafu wengi wapo straight sana...
Ila pia, hawa jamaa mikazo yao ni katika economics, academics and political aspects tu, katika upande wa socialisation wanafosi tu
 
nalizungumza hili kama mtu mwenye uzoefu na ligi kuu ya vodacom hapa nchini.ni hiyari yako kuukubari au kubisha kauli yangu.

mzunguko wa vpl una faida nyingi sana kiuchimu.

timu pinzani inapoenda kucheza ugenini na timu mwenyeji kuna biashara kadhaa huwa zinafanyika zinazo ongeza mzunguko wa pesa katika eneo husika.

mfano biashara ya hoteli, nyumba za kulala wageni, chakula, kumbi za starehe, biashara ya vileo,biashara ya "madada poa",biashara ya vyombo vya moto vya usafiri kama taxi, bajaji na bodaboda,biashara ya wapiga ramli katika mchezo wa soka nchini nk.

kumbuka timu inaposafiri kwenda kucheza katika mkoa fulani si tu wachezaji peke yao, kuna benchi la ufundi, mashabiki, waamuzi, makamisaa, waganga wa kienyeji nk. hao wate watahitaji huduma nilizoainisha hapo juu.na lazima wazilipie.

btw, huhitaji degree ya uchumi kutambua faida ya vpl kwa mikoa husika. ni knowledge ndogo tu ya darasa la saba.
 
Uongozi mbovu na mikakati ya ujenzi wa matumbo yao ndio kikwazo hasa Arusha nimeiona hiyo sana.... jiji lenye hoteli za kimataifa lingeingiza pesa sana kwenye soka.
 
Sio fani yao,wao biashara tu na utapel na uwiz,,siasa wala soka hayujuag sie
 
Parason,AFC,jkt oljoro,meru warriors,madini.Pepsi hzo ndo timu maarufu za mkoa wa arusha
 
Mwenzako kataja kilimanjaro Arusha, Manyara, Sasa Tanga umeitoa wapi mkuu.
 
Mkuu ukilinganisha hivyo, pia biashara zetu huwezi fananisha biashara za huko, unakoona kunalipa kimpira. Ila yote kwa yote Siamini, kuwa wachaga wote ni wafanya biashara, wengine ni walevi mbwa tu.
Wangehamasika kwenye michezo huenda wangewaokoa hao, ambao si wafanyabiashara, wanatumia muda wao kunywa mbege tu.
 
Angalia mikoa inayofanya vibaya kwenye matokeo ya Msingi na Kidato cha nne ndiyo inaongoza kutoa Wachezaji na Wasanii.
Wacheza mpira wengi ni watu ambao shule hawakuwa vizuri .
Ila ndugu yangu michezo pia hufundishwa mashuleni, au hujui michezo inahimizwa sana hao hao wasomi, Michezo pia ni biashara na ni kazi.
 
Hata shepu zao hawa jamaa wa kaskazini hazijakaa kiuchezaji. Wembamba chini juu wanene. Angalia miguu yao ni miembamba haiendani na morphology ya mwili mzima hivyo inakosa nguvu ya kusukuma gozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…