Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Kwani singida utd kuna mchezaji wa kutoka singida mule
Kagera sugar ?
Yanga kuna mchezaji wa kutoka dar labda ajibu pekee ila wengine foreigners
Bado hujatoa hoja ,viongozi wa vyama vya soka huko wanakula mishahara ya bure
Vilabu vinacheza daraja ya 2 ila hazipewi sapoti
Ina maana viongozi wa vyama vya soka mikoa hio wanalipwa mishahara bure tu basi hizo vyama vivunjwe,Tff wa allocate pesa sehemu zingine..pili mikoa hio haswa Arusha na Klm hujisifia kuna matajiri kweli viongozi wa vyama vya soka huko wameshindwa kuwashawishi matajiri wa huko ili wawekeze au kusaidia vilabu vinavyocheza ligi daraja la kwanza na la pili vilabu hivyo vifanye usajili wa maana ili waweze kupanda.Naamini maalfu ya watu mikoa hio wanapenda mpira tatizo iko kwa viongozi wa vyama vya soka,viongozi wa timu na matajiri wa huko wabahili mnoJamani kila mkoa useme unaingiza timu ligi kuu itakuwa na zaidi ya timu 20. na pia kila Kabila lina vipaumbele vyao wachaga wamejikita kwenye biashara hivyo utakavyopandisha timu yako wao wataingia tenda ya kukukodishia hoteli nzuri na kukuuzia chakula kizuri. pia sijawahi ona orodha ya wachezaji matajiri wa kibongo mishahara yenyewe kulipwa sana milioni moja au moja na nusu. Majungu kibao ushirikina kibao misumari kibao hivyo hao watu hawaviwezi hivyo vitu. kumbuka pia kuna fitna majinuni kiongozi mmoja wa ..FF alisema lazima timu ya kwao ipande mwingine naye akasema hivyo hivyo matokeo yake timo zote za mikoa yao zimepanda ligi kuu. kwa hio ndugu ni swala la vipaumbele tuu. tukutane taifa nikuuzie juice maji ya kandoro tishirt za simba na yanga huku nikilangua kwa bei chee na kukubamiza. Ndio vipaumbele vyetu.
Kama ni mchezo wenye pesa watauchangamkia haraka, lakini kama ni pesa za figisu hutawaona hawa jamaa.Habarini wakuu. Wakati kukiwa na shamra shamra za timu toka mikoa mbalimbali kupanda daraja kwenda ligi kuu upande wa kanda ya kaskazini bado hakuna matumaini ya kupata timu ligi kuu.
Ni misimu kadhaa sasa hakuna timu yoyote inayowakilisha hii mikoa hivo kuwakosesha burudani wapenda soka wa upande huu wa nchi.
Ina maana hawa viongoz wa hii mikoa hawaoni faida za kiuchumi zinazoletwa na ligi?
Tatizo ni nini maana Moshi na Arusha zina viwanja vizuri tu???
Uwanja wa Amri Abeid Arusha
Uwanja wa Ushirika moshi
Ulichoambiwa ni kweli matusi ya nini? Hapo ulipo unapapuchi pimbi wewe.Kwani wanaocheza mpira wanalipwa mapumbu??? Acha excuse zisizo na kichwa. Tunataka tupate shida ilipo ili wajikwamie kisoka watengeneze mkwanja zaidi