Kulikoni timu za mpira toka Kaskazini(Arusha,Manyara na Kilimanjaro)

Kulikoni timu za mpira toka Kaskazini(Arusha,Manyara na Kilimanjaro)

Team management na Fitina za mpiara hawazijuhi, wangekwenda tanga wakajifunza waliweza vipi kupandisha timu tatu, na zika shuka zote na kwa sasa wamepandisha moja na mwakani wanampango wakupandisha nyingine.
 
Kwani singida utd kuna mchezaji wa kutoka singida mule

Kagera sugar ?

Yanga kuna mchezaji wa kutoka dar labda ajibu pekee ila wengine foreigners

Bado hujatoa hoja ,viongozi wa vyama vya soka huko wanakula mishahara ya bure

Vilabu vinacheza daraja ya 2 ila hazipewi sapoti

Panore kajitahidi sana, lakini wananchi wamemuangusha, nasiukia kaamua kuanzisha timu yake na kuachana na ile timu ya wananchi.
 
Jamani kila mkoa useme unaingiza timu ligi kuu itakuwa na zaidi ya timu 20. na pia kila Kabila lina vipaumbele vyao wachaga wamejikita kwenye biashara hivyo utakavyopandisha timu yako wao wataingia tenda ya kukukodishia hoteli nzuri na kukuuzia chakula kizuri. pia sijawahi ona orodha ya wachezaji matajiri wa kibongo mishahara yenyewe kulipwa sana milioni moja au moja na nusu. Majungu kibao ushirikina kibao misumari kibao hivyo hao watu hawaviwezi hivyo vitu. kumbuka pia kuna fitna majinuni kiongozi mmoja wa ..FF alisema lazima timu ya kwao ipande mwingine naye akasema hivyo hivyo matokeo yake timo zote za mikoa yao zimepanda ligi kuu. kwa hio ndugu ni swala la vipaumbele tuu. tukutane taifa nikuuzie juice maji ya kandoro tishirt za simba na yanga huku nikilangua kwa bei chee na kukubamiza. Ndio vipaumbele vyetu.
 
Ina maana viongozi wa vyama vya soka mikoa hio wanalipwa mishahara bure tu basi hizo vyama vivunjwe,Tff wa allocate pesa sehemu zingine..pili mikoa hio haswa Arusha na Klm hujisifia kuna matajiri kweli viongozi wa vyama vya soka huko wameshindwa kuwashawishi matajiri wa huko ili wawekeze au kusaidia vilabu vinavyocheza ligi daraja la kwanza na la pili vilabu hivyo vifanye usajili wa maana ili waweze kupanda.Naamini maalfu ya watu mikoa hio wanapenda mpira tatizo iko kwa viongozi wa vyama vya soka,viongozi wa timu na matajiri wa huko wabahili mno
 
Habarini wakuu. Wakati kukiwa na shamra shamra za timu toka mikoa mbalimbali kupanda daraja kwenda ligi kuu upande wa kanda ya kaskazini bado hakuna matumaini ya kupata timu ligi kuu.
Ni misimu kadhaa sasa hakuna timu yoyote inayowakilisha hii mikoa hivo kuwakosesha burudani wapenda soka wa upande huu wa nchi.

Ina maana hawa viongoz wa hii mikoa hawaoni faida za kiuchumi zinazoletwa na ligi?

Tatizo ni nini maana Moshi na Arusha zina viwanja vizuri tu???

Uwanja wa Amri Abeid Arusha
646b87683dc443eb5c8367a2bdd9492d.jpg

Uwanja wa Ushirika moshi
cb2a60d7ca079caf2257b6295e751820.jpg
Kama ni mchezo wenye pesa watauchangamkia haraka, lakini kama ni pesa za figisu hutawaona hawa jamaa.
 
mtoto wa kichagga ananza chekechea na kuuza duka!! sasa ole wako utoke shule usiende kuuza duka kisa unaenda mpirani
 
Kwani wanaocheza mpira wanalipwa mapumbu??? Acha excuse zisizo na kichwa. Tunataka tupate shida ilipo ili wajikwamie kisoka watengeneze mkwanja zaidi
Ulichoambiwa ni kweli matusi ya nini? Hapo ulipo unapapuchi pimbi wewe.
 
Back
Top Bottom