Kulikoni umeme umeanza kukatika mara kwa mara?

Kulikoni umeme umeanza kukatika mara kwa mara?

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
32,378
Reaction score
29,739
Habari zenu,

Siku za hivi karibuni kumeamza kuwa na tatizo la umeme wa Tanesco kulatika katika ktk baadhi ya maeneo ya mkoa wa Dar. Nilianza kusahau ukatikaji wa umeme kipindi fulani.

Kulikoni? Ni coincidence au ndio tunaanza kusetiwa kununua majenereta?
 
Bagamoyo mapinga tangu saa 9 jioni ya leo
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
Umeme haujarudi bagamoyo mjue.tangu Jana tarehe 1 mchana
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
Habari zenu...
Siku za hivi karibuni kumeamza kuwa na tatizo la umeme wa Tanesco kulatika katika ktk baadhi ya maeneo ya mkoa wa Dar. Nilianza kusahau ukatokaji wa umeme kipindi fulani.
kulikoni? Ni coincidence au ndio tunaanza setiwa kununua majenereta?
Ni struggle ya kuweka legacy. Genge linajaribu kumtikisa mama Sasha,
watafyekwa wote,, we subiri tu.
Hatuna haraka, hadi kufika december nchi itakuwa imetulia.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu...
Siku za hivi karibuni kumeamza kuwa na tatizo la umeme wa Tanesco kulatika katika ktk baadhi ya maeneo ya mkoa wa Dar. Nilianza kusahau ukatokaji wa umeme kipindi fulani.
kulikoni? Ni coincidence au ndio tunaanza setiwa kununua majenereta?
Na Kinachonishangaza zaidi unakatika ( unakatwa ) sana sehemu za Majeshini kwa mfano Lugalo tena upande ule Muhimu wa kilipo Chuo chao cha Uuguzi ( Udaktari ), Mahanga ya walioko Kozi na Hostels za Wanafunzi wao.
 
Robot la TANESCO mbona halijajibu sababu za umeme kukatika?? Mapinga Bagamoyo??
Au tuamini shutuma za hujuma dhidi mama Rais, kutoka kundi fulani katika kulazimisha legacy ya mwendazake??

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Bagamoyo eneo gani haswa?
 
Huku kibaha ni kawaida unakatika kila siku na ukirudi umeme mdogo naona hii ni baada tu ya rais wa 6 kuingia madarakani
 
Huku kibaha ni kawaida unakatika kila siku na ukirudi umeme mdogo naona hii ni baada tu ya rais wa 6 kuingia madarakani
Je ni Kibaha sehemu gani na namba yako ya simu tafadhali.Jm
 
Back
Top Bottom