Kulikoni umeme umeanza kukatika mara kwa mara?

Kulikoni umeme umeanza kukatika mara kwa mara?

Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Tanesco hii msg yenu inakera nikiiona tu
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Kwanini tunapopigia namba za dharula hawapokei hapa nawazungumzia Tanesco kurasini
 
Habari zenu...
Siku za hivi karibuni kumeamza kuwa na tatizo la umeme wa Tanesco kulatika katika ktk baadhi ya maeneo ya mkoa wa Dar. Nilianza kusahau ukatokaji wa umeme kipindi fulani.
kulikoni? Ni coincidence au ndio tunaanza setiwa kununua majenereta?

E0NhMwdXIAAW0HL (1).jpeg
 
Kuanzia Disemba 2020 hadi Machi 2021 wilaya ya Kongwa ilishuhudia ukatwaji wa umeme ambao haujawahi kutokea....kwa siku moja ulikatika zaidi ya mara 20.
 
Ni struggle ya kuweka legacy. Genge linajaribu kumtikisa mama Sasha,
watafyekwa wote,, we subiri tu.
Hatuna haraka, hadi kufika december nchi itakuwa imetulia.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]mbung'o bana mna tabu sana.

huyu anayebembeleza wafanya biashara ndio wakusikilizwa na tanesco wazee wa ngumu!!!!
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]mbung'o bana mna tabu sana.

huyu anayebembeleza wafanya biashara ndio wakusikilizwa na tanesco wazee wa ngumu!!!!
Kamrudishe basi! maana naona inawauma sana mama asivyofagilia ukatili. Enzi zenu za ukatili ndo zimeshapita mzee.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Je ni Kibaha sehemu gani na namba yako ya simu tafadhali.Jm
Kibaha yote, mimi nitaongelea maeneo niliyoko ya kwa mfupa kila siku umeme unakatika na kurudi saa tatu usiku. Tangazeni mgawo, msiogope kutumbuliwa.
 
Kumbe zilikuwa juhudi za babayako
Watu wenye stress za maisha mna tabu sana. Sasa hapa baba yangu anahusianaje?

Baba yangu aliye kaburini kajipumzikia amekujaje hapa ndugu yangu? Huwezi kabisa kutumia busara hata hiyo ndogo uliyo nayo? Kama wewe ni mchambaji mzuri kwanini usinichambe mimi mwenyewe niliyeandika hiyo comment?

Anyway, nikutakie jumapili njema ndugu yangu, Mungu akubariki akuongezee hekima na busara katika maisha yako
 
Mameneja wa Mikoa na Wilaya wameamua kupimana nguvu na Mhe. Waziri.

Sijui nini kimetokea mpaka kupelekea umeme kutakuwa wa uhakika ktk kipindi hiki!!!!

Umeme unakatika katika sana kuliko ilivyo kuwa ktk awamu ya 5, nini Tatizo?!

kama ni hujuma tutambue, kama ni ubovu pia tujulishwe.
 
Yani wanakwaza sana Tanesco.

Naona wanatafuta kumbipu Mama .

Msimjaribu mama wa watu.

Maeneo ya Mbezi juu kuna jamaa yangu Anasema kila baada ya siku 2-3 umeme unakatwa [emoji57][emoji57]
 
Daah! Tusirudi kule tulikotoka. Ni aibu kukaa giza totoro sababu mabwana hayana maji. Miaka ile buana 😂😂😂😂😂
 
Watu wenye stress za maisha mna tabu sana. Sasa hapa baba yangu anahusianaje?

Baba yangu aliye kaburini kajipumzikia amekujaje hapa ndugu yangu? Huwezi kabisa kutumia busara hata hiyo ndogo uliyo nayo? Kama wewe ni mchambaji mzuri kwanini usinichambe mimi mwenyewe niliyeandika hiyo comment?

Anyway, nikutakie jumapili njema ndugu yangu, Mungu akubariki akuongezee hekima na busara katika maisha yako
Stress za maisha ninazo kwasababu bado naishi
wacha wivu wa kitoto unashidwa kabisa kutambua juhudi za Magu eti unahamisha magoli mjinga weye....
mpe mtu sifa yake wacha unafiki wa kujifanya mwema kumbe kiazi tu
 
Back
Top Bottom