barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Ni struggle ya kuweka legacy. Genge linajaribu kumtikisa mama Sasha,Habari zenu...
Siku za hivi karibuni kumeamza kuwa na tatizo la umeme wa Tanesco kulatika katika ktk baadhi ya maeneo ya mkoa wa Dar. Nilianza kusahau ukatokaji wa umeme kipindi fulani.
kulikoni? Ni coincidence au ndio tunaanza setiwa kununua majenereta?
Na Kinachonishangaza zaidi unakatika ( unakatwa ) sana sehemu za Majeshini kwa mfano Lugalo tena upande ule Muhimu wa kilipo Chuo chao cha Uuguzi ( Udaktari ), Mahanga ya walioko Kozi na Hostels za Wanafunzi wao.Habari zenu...
Siku za hivi karibuni kumeamza kuwa na tatizo la umeme wa Tanesco kulatika katika ktk baadhi ya maeneo ya mkoa wa Dar. Nilianza kusahau ukatokaji wa umeme kipindi fulani.
kulikoni? Ni coincidence au ndio tunaanza setiwa kununua majenereta?
Bagamoyo eneo gani haswa?Robot la TANESCO mbona halijajibu sababu za umeme kukatika?? Mapinga Bagamoyo??
Au tuamini shutuma za hujuma dhidi mama Rais, kutoka kundi fulani katika kulazimisha legacy ya mwendazake??
Everyday is Saturday............................... 😎
Je ni Kibaha sehemu gani na namba yako ya simu tafadhali.JmHuku kibaha ni kawaida unakatika kila siku na ukirudi umeme mdogo naona hii ni baada tu ya rais wa 6 kuingia madarakani
Kumbe zilikuwa juhudi za babayakoBasi hapa Raia watasema ilikuwa ni juhudi za Mwendazake.