Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Shukrani sana, wengine tumeshazoea kusali ONLINEHII ni redio ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Mashariki na Pwani. Ngoja tuwaulize huko Upendo Media wamekumbwa na nini?
Evangelical Lutheran Church in Tanzania Eastern and Coastal Diocese (ELCT – ECD).
P.O.Box 837 Dar es salaam, TANZANIA.
ECD Telephone: +255 22 211 3246
ECD Telefax: +255 22 212 5505
ECD Website: www.elctecd.org
ECD E-mail: info@elctecd.org
Ni kweli bro, sio kila wàkati tunapata wasaa wa kuingia mjengoniShukrani sana, wengine tumeshazoea kusali ONLINE
Kamwene behNilifukiri ni tatizo la simu yangu kumbe siyo. Mimi pia ni msikilizaji wa hiyo radio usiku na alfajiri.
Tuambieni imetokea Nini?
Hawako serious hata kidogo. Youtube kila video imeandikwa live wakati haziko liveNaweza kusema hawapo serious kutangaza.
Hapa kibaha nasikiliza redio sauti ya injili lakini upendo huwa haishiki.
Juzi tu tumeichangia sadaka upendo lakini hamna kitu.Hawako serious hata kidogo. Youtube kila video imeandikwa live wakati haziko live
Mimi huwa napenda kusikiliza maombi yao usiku ila kwa radio ya simu,ndio wana nibembelezaga nalala usingizi 107.7 Kama sijakosea.Hawako serious hata kidogo. Youtube kila video imeandikwa live wakati haziko live
Inakua ONLINE ndio rahisi kuipata back then, sidhani kama walikua wanarusha huko kote.Kwa Dodoma ilikuwa inapatikana ngapi
Hahahaha sikuweza kuchanga ila huwa ni mchangiaji mzuriJuzi tu tumeichangia sadaka upendo lakini hamna kitu.
El
Msitoe buku jamani. Kuna sadaka za kihali pia. Tafuta kijana mweledi, mtupe pale afanye kazi wakikataa kumlipa, njoo uwashitaki kwangu nina connection ya Bill Lugano na TAJIRI MKUU WA MATAJIRI hawatashindwa kumlipa mshahara. Kutoka hapo tutakuwa kwenye nafasi nzuri ya kuwasutaJuzi tu tumeichangia sadaka upendo lakini hamna kitu.
El
katoa buku kumbe?Msitoe buku jamani. Kuna sadaka za kihali pia. Tafuta kijana mweledi, mtupe pale afanye kazi wakikataa kumlipa, njoo uwashitaki kwangu nina connection ya Bill Lugano na TAJIRI MKUU WA MATAJIRI hawatashindwa kumlipa mshahara. Kutoka hapo tutakuwa kwenye nafasi nzuri ya kuwasuta
Wamejaza ndugu zaoMsitoe buku jamani. Kuna sadaka za kihali pia. Tafuta kijana mweledi, mtupe pale afanye kazi wakikataa kumlipa, njoo uwashitaki kwangu nina connection ya Bill Lugano na TAJIRI MKUU WA MATAJIRI hawatashindwa kumlipa mshahara. Kutoka hapo tutakuwa kwenye nafasi nzuri ya kuwasuta
Ulipona Umshukuru MunguHahahaha sikuweza kuchanga ila huwa ni mchangiaji mzuri
Humjui Mamndenyi , nimetoka mbali sana huyu mama, na mpango wetu wa kufungua kanisa, lakini alicho nifanya only God knows. Mwamlima angekuwa hai ningemshitakikatoa buku kumbe?
Na mimi maombi yangu ninayokuombea huwa yanaruka kupotia true love frequencyMimi huwa napenda kusikiliza maombi yao usiku ila kwa radio ya simu,ndio wana nibembelezaga nalala usingizi 107.7 Kama sijakosea.