Kulikoni Upendo FM kujitoa online?

Naweza kusema hawapo serious kutangaza.

Hapa kibaha nasikiliza redio sauti ya injili lakini upendo huwa haishiki.
Kabisa, hawako serious. Hata ukitoa maoni hayafanyiwi kazi, wapo wapo tu
 
Mkuu hamia radio kicheko kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa nne asubuhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…