Wamebadilisha kimya kimya bila hata kutoa maelezo?. Ile ilikuwa Virtual Mastercard na kwenye menu yao ilikuwepo pamoja na Mpawa, Sasa hivi hata hiyo Virtual Visa Card haipo.Wamebadlisha kwenda visa card na unatakiwa ufungue account upya , huenda mkataba wao na bank ABC umeingia shubiri
Walituma ujumbeWamebadilisha kimya kimya bila hata kutoa maelezo?. Ile ilikuwa Virtual Mastercard na kwenye menu yao ilikuwepo pamoja na Mpawa, Sasa hivi hata hiyo Virtual Visa Card haipo.
1- Kwanza walituma message kama una pesa Mastercard hamisha.Wamebadilisha kimya kimya bila hata kutoa maelezo?. Ile ilikuwa Virtual Mastercard na kwenye menu yao ilikuwepo pamoja na Mpawa, Sasa hivi hata hiyo Virtual Visa Card haipo.
Ok. Nashukuru kwa maelekezo,lakini nashangaa hata kwenye menu haipo? Labda inatolewa na Bank of Africa? au ABC Bank iliyotajwa na mdau humu?.1- Kwanza walituma message kama una pesa Mastercard
2- Baadaye wakatuma tena SMS hawatumii tena Mastercard.
3- Baadaye wakatuma sasa hivi wanatumia M-pesa Visa Card
Hii ipo kwenye menu yao? Jana nilikuwa na shida sikuona hiyo kitu.1- Kwanza walituma message kama una pesa Mastercard
2- Baadaye wakatuma tena SMS hawatumii tena Mastercard.
3- Baadaye wakatuma sasa hivi wanatumia M-pesa Visa Card
Walitoa taarifa na walipomaliza wakatoa tena taarifa.Wamebadilisha kimya kimya bila hata kutoa maelezo?. Ile ilikuwa Virtual Mastercard na kwenye menu yao ilikuwepo pamoja na Mpawa, Sasa hivi hata hiyo Virtual Visa Card haipo.
Hii ipo kwenye menu yao? Jana nilikuwa na shida sikuona hiyo kitu.
Nafikiria kwenda kupata card bank tu.