Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Imekuaje vyombo vya habari ambavyo vilikuwa havirushi habari za viongozi wakubwa wa CHADEMA sasa ghafla vimekuwa havikauki kuwahoji viongozi waandamazi wa CHADEMA na havikosekani katika press conferences za Lissu, Mbowe, Mnyika, Lema na viongozi wengine wengi wa CHADEMA?!
Miezi kadhaa hapo nyuma Lissu, Mnyika, Heche, Wenje au Lema walikuwa wakiitisha mkutano na waandishi wa habari unaziona microphones mbili au tatu, labda moja ya Jambo TV, MwanaHalisi na nyingine ya CHADEMA Media ila sasa hivi mambo ni tofauti kabisa, mic🎤 zinajaa kwenye podium hadi zinamwagika! Hadi online media za udaku na mpira zinapepea na habari za CHADEMA!
Huku ni kuongezeka kwa uhuru wa vyombo vya habari nchini au wenyewe "The powers that be" ndio wanapenda hivi?!