Kulikoni Wamachinga walipie vitambulisho mara mbili?

Sasa mnataka mlipe 20000 kwa mwaka na pesa iende serikali kuu na machinga wapo manisipaa wasilipie manisipaa chochote? Huo usafi na wasimamizi wa mazingira Nani awalipe? Nani awasafishie vyoo? Tuweni na upendo jamani Sasa unataka sisi wenye maduka tughalimike wenyewe na nyinyi mpange mbele ya maduka yetu? Hiyo siyo sawa kabisa Kila mtu anashida jamani.
 
Siku zote nasema kuna watu washashindwa kutekeleza majukumu yao na kulazimisha kila mtu ajiajiri sio kwa lengo la kuinua uchumi wenu ila ni kwa sababu watapata mapato zaidi katika kodi na ushuru ili waendeleze anasa zao.
 
Sasa tatizo ni nini? Walipishwe hata mara nne. Vitambulisho ni muhimu.
 
Wewe kinakuuma nini? Wahusika wanaona fahari kuichangia serikali yao kwa maendeleo yao, waache.
 
Wewe kinakuuma nini? Wahusika wanaona fahari kuichangia serikali yao kwa maendeleo yao, waache.
Wakalazimishwa. Acha mambo ya taarabu yani mtu aone fahari kuchangia af alallamike? Unatokea Mkoa gani wewe
 
Wakalazimishwa. Acha mambo ya taarabu yani mtu aone fahari kuchangia af alallamike? Unatokea Mkoa gani wewe
Ni watanzania wangapi wakitetewa huwaruka wanaowatetea, mbona ni wengi tu! Wanzfunzi wa vyuo walitetewa kuhusu marejesho ya mikopo, cha ajabu wakakanusha kuwa kuna tatizo, haohao wakaanza tena kulalamika.
 
Kulikuwa kuna haja gani ya kuweka wizara ya TAMISEMI chini ya OFISI YA RAISI????
 
Lipeni kodi tena ikiwezekana mlipe hata mara 3

Ova
 
[emoji870]tenaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…