Kulikoni Watanzania kushambulia DP World?

Kulikoni Watanzania kushambulia DP World?

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
2,228
Reaction score
3,045
Sahivi kwenye page ya DP world ya Instagram hapatoshi, Watanzania wanaporomosha matusi hatari kwenye page za Waarabu.

DP world kazi wanayo.

Screenshots_2023-06-18-12-12-16.png

Screenshots_2023-06-18-12-11-59.png
 
Huku zenji mwarabu alivyo na dharau hakai foleni yoyote.
Dar watapigwa ngumi, sidhani wana akili ya watumwa kama huku ya kumpisha bwana mkubwa.
 
Kwani utadaiwa wewe?
Haya ni self-asking questions!!
 
Sahivi kwenye page ya DP world ya Instagram hapatoshi, Watanzania wanaporomosha matusi hatari kwenye page za Waarabu.

DP world kazi wanayo.

View attachment 2660844View attachment 2660845
Akili za kibongo ndizo hizi, zimejaa hasira dhidi ya yale waliyotendewa mababu zetu zaidi ya miaka mia moja iliyopita. Zimejikita kwenye visasi vya kabla hata hawajazaliwa, poor african minds.
 
Back
Top Bottom