Kulikoni Watanzania kushambulia DP World?

Kulikoni Watanzania kushambulia DP World?

Wanasema Wananchi ndio Mabosi wa Wanasiasa.
Lakn huyu Bosi(Mwananchi) akikataa kitu na Mwanasiasa akiamua kukifanya, huyo Bosi hana Sauti.

Bora kwa Wenzetu. Mabosi wanasauti kubwa.
 
DP World wamekataliwa, si waache kwani lazima??
Hatuwatakiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
huo ni uwekezaji si biashara ya genge la nyanya .
mamuzi yakipitishwa lazima yafanyiwe kazi, hao mamluki wa chadema watashulikiwa taratibu kwa njia mbalimbali pamoja na kuzidi kuwapa elimu
 
Waarabu kazi wanayo[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mfano mzuri kwenye fainali za CAF mara wapulize moshi wakiona lango lao linashambuliwa kwa kasi na nguvu, tupia hata mipira 4, mradi fujo na rafu za kuhakikisha wanashinda
 
Pigo kubwa kwa Faizafoxy and co.!!
Hahaha, nashukuru nilisomea mambo ya mawasiliano. Pata darsa dogo. Kuhusu mawadiliano:

Ukitaka ujumbe wako ufike mbali kwa haraka, anzisha utata (contriversy) itayokets mabishano.

Nakuhakikishia, aliyeuanzisha huu utata alikuwa halijuwi hilo, mimi nalifurahia dana, kwani linamfanyia mama kazi ya kupatana (negotiate) na Waarabu kuwa nyepesi sana.

AlhamduliLlah, Ma shaa Allah, mama anafanya kwa nia njema, mambo yanajitengeneza yenyewe, "mja stara haumbuki".


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Hao waarabu tunapata taarfa zao uku nje ni watu wa fujo kuharibu nchi za watu
Wangepokelewa Uingereza na kupewa bandari waiendeshe huko?

Usiseme uongo, siku hizi dunia kiganjani, Watanzania wana habari zote za duniani kuliko wewe.

Wewe beba maboksi huko, wachana na kudanganya, wengine tumeishi nje ya Tanzania kabla ghujazaliwa.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Back
Top Bottom