Kulikoni Watanzania kushambulia DP World?

Ushoga mnaukuza tu.

Kwani kizazi kinachoikosoa na kuibua huu mjadala ni kipi??
Kukosoa sio kazi si unaandika tu kwenye platform za mitandao ukiwa umelala kitandani au unadrive.

Kazi ni kuchukua hatua,kizazi cha kuchukua hatua kiko wapi na kinazidi kujikita kwenye Simba,Yanga,kubeti.

ushoga ni mkakati unaosimamiwa na nchi wahisani zenye uchumi mkubwa.

nenda Kinondoni,Ilala,Magomeni na mikoani uone hali mbaya kwa wimbi la vijana wadogo mashoga.

Ukiona mti unapopolewa ujuwe una matunda.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Wezi,wavivu,wanaoishi kwa pesa za dili za hapo bandari ndiyo wanalia
Dp world shikilia hapo hapo
Watu bandari michezo yao tunaijua kitambo tu
Na waibeibe mwishomwisho maana dp world akija uwizi watausikia kwenye bomba,kama huwezi ishi kwa mshahara Acha kazi

Ova
 
DP World wamekataliwa, si waache kwani lazima??
Hatuwatakiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwani wamemtongoza mamako au nani kawakataa. Mkataba umeshapitishwa na bunge nyie nyau kuleni hizo pesa za sukuma gang
 
Kukosoa sio kazi si unaandika tu kwenye platform za mitandao ukiwa umelala kitandani au unadrive.

Kazi ni kuchukua hatua,kizazi cha kuchukua hatua kiko wapi na kinazidi kujikita kwenye Simba,Yanga,kubeti.

ushoga ni mkakati unaosimamiwa na nchi wahisani zenye uchumi mkubwa.

nenda Kinondoni,Ilala,Magomeni na mikoani uone hali mbaya kwa wimbi la vijana wadogo mashoga.

Nshakwambia hiyo mnaikuza sana.
Mfano tu ni hapa jf lile wimbi la kataa ushoga lilipopamba moto, aloo kila ukifungua ni nyuzi 5 au 6 as if huko nyuma haukowepo.

Mkuu movements za watu kudai haki zao huanza taratibu,, kwani nchi ambazo zimefanikiwa kwayo hazina mashoga?? Hawabet? Hawashabikii mpira?
Ni suala la muda tu, pale wengi tutapoanza kuimba wimbo mmoja.
 
kaka mkubwa ushoga umeingia mashuleni wewe unaona nguvu ya ushoga ni ndogo?

shoga yupi ataingia barabarani kupambana wakati anatoka mavi matokoni,unajua vishindo vya mabomu wewe,unataka wajiharishie watuchafulie barabara?

atuwezi kuimba wimbo mmoja wakati waongoza nyimbo ni tofauti,wakuwaonganisha watu angalau wangekua wanasiasa wa upinzani,lakini mpaka sasahivi awaongei lugha moja kila mmoja anamuona mwenzie anakosea na ni adui.

viongozi wa dini wapo bize na sadaka za waumini kutwa kujikomba kwa viongozi.
vyombo vya habari dhoofu lhali wanapewa bahasha wanauza habari maisha yanakwenda!

tukifika unakokutaka wewe watu wafanye changamoto nyingi azitokuwepo,tutakua tushapiga hatua kubwa.
Tanzania kama nchi atuna mkwamo wa kiviile,kikubwa tuombe amani iwepo ili tusi stack kumove on.
 
Mkuu hilo la ushoga umelikomalia sana, mi nakwambia hilo lilikuzwa kimkakati tu.

Mifano yako huko juu umeitoa ya dar tu, hapa jf tuko zaidi la laki 6. Lakini waliojitokeza na kusema ni mashoga hawazidi 5, na wakati huo tunatumia id's feki tu.
Mashoga wapo ila sio kwa kiwango hicho aisee.

Na pia mi naamini kama mambo yatakua mabaya wananchi watainuka tu, mkuu life likiwa gumu watu wataandamana tu. Saivi pesa bado ipo mtaani.
 
Linakuzwa kimkakati kumbe unajua,sasa unakataa nini na ndoa za mashoga zinafungwa wazi kabisa,uoni wanaongezeka kwa kasi kilakukicha mpaka kwenye mikoa ambayo huwezi kutegemea kama Mwanza,Arusha,Mbeya n,k.

kuitoa madarakani serikali kama ya Tanzania kwa maandamano na hawa wananchi wa aina hii kama yako sahau.
kesho kuna maandamono yameitishwa jisogeze pale ukiwashe mzee baba!
 
DP World wamekataliwa, si waache kwani lazima??
Hatuwatakiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamuwataki nyie kina nani?
Wenye bandari yao ndo washawapa sasa nyie wabara ndo mtazuia nini
 
hao wanaitwaga keyboard worrior mikwara mingi kumbe watupu.
Kaa ufikiri hivyo hivyo, mradi ukumbuke tu, ndiyo wapo kwako sasa, wewe ambae si mtupu unafanya nini?

Nakushauri msikilize binti kwenye hiyo video clip, bi Amna Ghanem, katowa ushauri mwema sana kwa vijana. Usikilize

Mama anaupiga mwingi Kimataifa. .
 
Back
Top Bottom