Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Umeelewa nilipokwambia linakuzwa kimkakati?? Ni kwamba sio kubwa ila ninyi mnaliona kama kubwa ndio mnatumika kulikuza ila ukilipuuza wala watu hawajua huyo shoga anafafanaje.Linakuzwa kimkakati kumbe unajua,sasa unakataa nini na ndoa za mashoga zinafungwa wazi kabisa,uoni wanaongezeka kwa kasi kilakukicha mpaka kwenye mikoa ambayo huwezi kutegemea kama Mwanza,Arusha,Mbeya n,k.
kuitoa madarakani serikali kama ya Tanzania kwa maandamano na hawa wananchi wa aina hii kama yako sahau.
kesho kuna maandamono yameitishwa jisogeze pale ukiwashe mzee baba!
Mkuu mashoga wapo tangu enzi na enzi, hata hapa Tz kitambo tu kwenye hiyo miji uliyotaja wapo ila ndo vile media hazikuwapa airtime kama sasa hivi.
Anhaaa kumbe wewe tupo mitumbwi tofauti, wewe unaongelea kuitoa serikali madarakani?? Mimi naongelea kupata haki kwa njia ya maandamano, ama lah kufikisha ujumbe kwa njia hiyo ya maandamano.
Kuitoa madarakani ni kwa njia ya sanduku la kura mkuu au huujui utaratibu?? Labda kama unataka tuwe kama Somalia ndo uitoe serikali kwa hayo maandamano.
Labda utaratibu haukufuatwa ndio maana wamekatiliwa, ila inawezekana vizuri tu.