Kinachosikitisha Tanzania bara, kumbuka kuwa yanayofanywa leo na mama Samia kupitia DP World, yangefanywa kiuaminifu na TICTS miaka zaidi ya 20 nyuma, leo hii Tanzania ingekuwa inafaidika na kwa andari zake kuchangia zaidi ya 100% ya bajeti ya sasa.
Leo mama kapigana ndani ya muda wake mchache aliokuwepo kuwang'oa TICTS ambao walishaota mizizi ambayo ilimshinda hata mwendazake kuwang'oa kibabe. Walikuwa watata kuondoka na wajanja sana na wana nguvu sana. Unagahamu juwa TICTS ilikuwa inamilikiwa na shurika kubwa lankuendesha bandari duniani?
Mkipenda kuyajuwa mtaniuliza ntawapa japo kwa uchache ninavyojuwa vita hii ys kiuchumi imepiganwa vipi. Kwa Wsislam tunasema mama kafanya jihadi kuinusuru Tanzania jutoka tumboni mwa nyangumi, Mwenyezi Mungu kamsaidia kwa nia yake njema na ucha Mungu wake.
Kuhusu Zanzibar, Mwinyi anafanya vizuri sana na kisha saini mikataba na kampuni za kuwekeza kwenye Bandari, kama sikosei tayari bandari mbili za Zanzibar. Yeye alianza na Airport ya Unguja.