Kulikoni Watanzania kushambulia DP World?

Kulikoni Watanzania kushambulia DP World?

Ni wakati sasa wa serikali kutoa ufafanuzi mpana na kujibu maswali yote kuhusu hili sakata
 
Hatutaki maunjinga sisi!

Watu milioni 60 wakosekane watu hata 10 wa kuendesha Bandari zetu hadi wapewe hao DP word kwa mkataba wa hovyo?

Bora apewe Mo na Bakheresa! Na au Kishimba
 
Ni upumbavu tu. Wanaacha twita za msigwa samia mbarawa nape samia n.k? Sasa kuwashambulia dp w itasaidia nini?
 
zamani mji kama wa Dar kulikua na mashoga wachache sana mmoja akiitwa Ant Mudi na bado jamii ilimtenga,tofauti na sasa hali ilivyo mashoga wanapewa mpaka mialiko kwenye vigodoro,harusi,kitchen party n,k.
kelele zinapigwa kwasababu hali ni mbaya,jamii ikikaa kimya vijana wengi watapotea ndio hizi kelele unaziona.

Ahaa kama kwa kura basi hivyo hata watawala watakuunga mkono,tusubiri uchaguzi ambao kwa miaka mitano ni maramoja tupige kura tuwatowe madarakani!
Unaongelea mashoga wanaofahamika mkuu, na hata ivo sasa hivi mnawapa nguvu. Haya huko kupinga kwenu kumesaidia nini, kwani hawapo?? Shughuli haziendi?? Vijana hawafanyi kazi?? Hao unaowatuhumu ni mashoga hawafanyi kazi za kjwaingizia kipato??

Jamii inajua hilo jambo ni baya ila humu mitandaoni ni kama linatangaza indirectly, yani ni kama kusema unapinga biashara ya malaya halafu unatoa mifano ya wanakopatikana na bei zao, sasa hapo unapinga au unatangaza. Humu mnatangaza hampingi, nje ya kusema "nauchukia ushoga" huoni nyuzi za kuelimisha madhara yake ila mnasema mnapinga.

Ndo ivo subiri uchaguzi, hiyo ndo njia sahihi na hata vyama vya upinzani vinajua hilo.
Ndio maana kinachopiganiwa ni iwepo tume huru na ya haki kwasababu wanajua sanduku la kura ndio muamuzi na sio kudai madaraka kwa mtutu.
 
Kwani bandari ni ua Mbowe na Lissu?- Hebu jitambue
Acha ufala, huna hela halafu unaenda kuning'iniza kende mtaani eti maandamano hahahaaaa.

Ingekuwa heri ungependa katika nyumba ya ibada ukamuombe Mungu wako afanye kitu dhidi ya hao mafisadi.

Kumbuka shetani haondolewi kwa maandamano.
 
Hao jamaa hawana bahati, japo kosa sio lao, kosa kubwa zaidi lipo kwa Samia msaliti.
 
Acha ufala, huna hela halafu unaenda kuning'iniza kende mtaani eti maandamano hahahaaaa.

Ingekuwa heri ungependa katika nyumba ya ibada ukamuombe Mungu wako afanye kitu dhidi ya hao mafisadi.

Kumbuka shetani haondolewi kwa maandamano.
Uwezo wako ni mdogo. Hujui nini maana ya masilahi ya Taifa
 
Pamoja na mabaya yake mengi lakini kwenye kulinda rasilimali za nchi alikuwa vizuri sn
Hayo ndio tuliyoyataka kutoka kwa Magu..hawa mnaowaita wapenda demokrasia si mmeona wanachofanya..sasa ukiporwa nchi hiyo demokrasia utaitoa wapi?? Maana hata huo uhuru huna tena..
 
Ni wakati sasa wa serikali kutoa ufafanuzi mpana na kujibu maswali yote kuhusu hili sakata
Hawawezi kutoa ufafanuzi wowote wala kujibu swali lolote kuhusu ule mkataba wa kinyonyaji waliotuingiza.

Wanachotakiwa kufanya tuwaone wako nasi pamoja, ni kuuvunja ule mkataba potelea mbali hata kama waarabu wakitudai fidia.
 
Back
Top Bottom