Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hii kitu ni nzuri sn hatuwataki sisi hao mbwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bandari ni ya Mbowe/Lissu au ni ya watanzania?Upo na Mbowe au upo na Lissu ?
Mtoa mada nae kaleta habari nusu,Mange Kimambi ndio kahamasisha watu waende kwenye Ig page ya DP world wakatoe mapovu.Magufuli aliiamsha sana hii nchi
Kwani bandari ni ya Mbowe na Lissu?- Hebu jitambueUpo na Mbowe au upo na Lissu ?
WamenunuliwaKelele za chura hizo watu washakula noti
Niko na manati yangu hapa nataka nirushe ndani huko niliamshe,Twenden front basi nipo posta hapa nawasubiri!
Unaongelea mashoga wanaofahamika mkuu, na hata ivo sasa hivi mnawapa nguvu. Haya huko kupinga kwenu kumesaidia nini, kwani hawapo?? Shughuli haziendi?? Vijana hawafanyi kazi?? Hao unaowatuhumu ni mashoga hawafanyi kazi za kjwaingizia kipato??zamani mji kama wa Dar kulikua na mashoga wachache sana mmoja akiitwa Ant Mudi na bado jamii ilimtenga,tofauti na sasa hali ilivyo mashoga wanapewa mpaka mialiko kwenye vigodoro,harusi,kitchen party n,k.
kelele zinapigwa kwasababu hali ni mbaya,jamii ikikaa kimya vijana wengi watapotea ndio hizi kelele unaziona.
Ahaa kama kwa kura basi hivyo hata watawala watakuunga mkono,tusubiri uchaguzi ambao kwa miaka mitano ni maramoja tupige kura tuwatowe madarakani!
Acha ufala, huna hela halafu unaenda kuning'iniza kende mtaani eti maandamano hahahaaaa.Kwani bandari ni ua Mbowe na Lissu?- Hebu jitambue
Uwezo wako ni mdogo. Hujui nini maana ya masilahi ya TaifaAcha ufala, huna hela halafu unaenda kuning'iniza kende mtaani eti maandamano hahahaaaa.
Ingekuwa heri ungependa katika nyumba ya ibada ukamuombe Mungu wako afanye kitu dhidi ya hao mafisadi.
Kumbuka shetani haondolewi kwa maandamano.
Hayo ndio tuliyoyataka kutoka kwa Magu..hawa mnaowaita wapenda demokrasia si mmeona wanachofanya..sasa ukiporwa nchi hiyo demokrasia utaitoa wapi?? Maana hata huo uhuru huna tena..Pamoja na mabaya yake mengi lakini kwenye kulinda rasilimali za nchi alikuwa vizuri sn
Mjinga unawasubiri Mbowe na Lissu huku wewe ukielekea utumwani.Upo na Mbowe au upo na Lissu ?
Wabara.Bandari ni ya Mbowe/Lissu au ni ya watanzania?
Hawawezi kutoa ufafanuzi wowote wala kujibu swali lolote kuhusu ule mkataba wa kinyonyaji waliotuingiza.Ni wakati sasa wa serikali kutoa ufafanuzi mpana na kujibu maswali yote kuhusu hili sakata