Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ujinga umekupofua macho kijanaHuku zenji mwarabu alivyo na dharau hakai foleni yoyote.
Dar watapigwa ngumi, sidhani wana akili ya watumwa kama huku ya kumpisha bwana mkubwa.
Shetani siku zote hupigwa mawe popote.Ukiona mti unapopolewa ujuwe una matunda.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Ushoga mnaukuza tu.iyo siku ikifika sababu zitakua azipo au zimepungua kwa kiasi kikubwa.
kwanza itakua ni lini iyo siku na vijana wa kizazi hiki ushoga na kubeti ndo mambo muhimu kwao.
Kukosoa sio kazi si unaandika tu kwenye platform za mitandao ukiwa umelala kitandani au unadrive.Ushoga mnaukuza tu.
Kwani kizazi kinachoikosoa na kuibua huu mjadala ni kipi??
Watajua hawajuiHii Vita itaumiza Waarabu wetu Uchwara huku Kilombero
Wezi,wavivu,wanaoishi kwa pesa za dili za hapo bandari ndiyo wanaliaUkiona mti unapopolewa ujuwe una matunda.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
kwani wamemtongoza mamako au nani kawakataa. Mkataba umeshapitishwa na bunge nyie nyau kuleni hizo pesa za sukuma gangDP World wamekataliwa, si waache kwani lazima??
Hatuwatakiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nshakwambia hiyo mnaikuza sana.Kukosoa sio kazi si unaandika tu kwenye platform za mitandao ukiwa umelala kitandani au unadrive.
Kazi ni kuchukua hatua,kizazi cha kuchukua hatua kiko wapi na kinazidi kujikita kwenye Simba,Yanga,kubeti.
ushoga ni mkakati unaosimamiwa na nchi wahisani zenye uchumi mkubwa.
nenda Kinondoni,Ilala,Magomeni na mikoani uone hali mbaya kwa wimbi la vijana wadogo mashoga.
Vita yetu dhidi ya ushoga ni dhaifu sana
Wazungu wanao msemo wao maarufu usemao "nionyeshe rafiki zako ili nikwambie tabia yako", wakimaanisha kuwa kama ukiwa na marafiki shoga na wewe upo uwezekano mkubwa ni shoga vilevile au huuchukii ushoga hata kama wewe sio shoga. Baba yangu alikuwa sheikh mkubwa lakini alikuwa na marafiki zake...www.jamiiforums.com
kaka mkubwa ushoga umeingia mashuleni wewe unaona nguvu ya ushoga ni ndogo?Nshakwambia hiyo mnaikuza sana.
Mfano tu ni hapa jf lile wimbi la kataa ushoga lilipopamba moto, aloo kila ukifungua ni nyuzi 5 au 6 as if huko nyuma haukowepo.
Mkuu movements za watu kudai haki zao huanza taratibu,, kwani nchi ambazo zimefanikiwa kwayo hazina mashoga?? Hawabet? Hawashabikii mpira?
Ni suala la muda tu, pale wengi tutapoanza kuimba wimbo mmoja.
Mkuu hilo la ushoga umelikomalia sana, mi nakwambia hilo lilikuzwa kimkakati tu.kaka mkubwa ushoga umeingia mashuleni wewe unaona nguvu ya ushoga ni ndogo?
shoga yupi ataingia barabarani kupambana wakati anatoka mavi matokoni,unajua vishindo vya mabomu wewe,unataka wajiharishie watuchafulie barabara?
atuwezi kuimba wimbo mmoja wakati waongoza nyimbo ni tofauti,wakuwaonganisha watu angalau wangekua wanasiasa wa upinzani,lakini mpaka sasahivi awaongei lugha moja kila mmoja anamuona mwenzie anakosea na ni adui.
viongozi wa dini wapo bize na sadaka za waumini kutwa kujikomba kwa viongozi.
vyombo vya habari dhoofu lhali wanapewa bahasha wanauza habari maisha yanakwenda!
tukifika unakokutaka wewe watu wafanye changamoto nyingi azitokuwepo,tutakua tushapiga hatua kubwa.
Tanzania kama nchi atuna mkwamo wa kiviile,kikubwa tuombe amani iwepo ili tusi stack kumove on.
Linakuzwa kimkakati kumbe unajua,sasa unakataa nini na ndoa za mashoga zinafungwa wazi kabisa,uoni wanaongezeka kwa kasi kilakukicha mpaka kwenye mikoa ambayo huwezi kutegemea kama Mwanza,Arusha,Mbeya n,k.Mkuu hilo la ushoga umelikomalia sana, mi nakwambia hilo lilikuzwa kimkakati tu.
Mifano yako huko juu umeitoa ya dar tu, hapa jf tuko zaidi la laki 6. Lakini waliojitokeza na kusema ni mashoga hawazidi 5, na wakati huo tunatumia id's feki tu.
Mashoga wapo ila sio kwa kiwango hicho aisee.
Na pia mi naamini kama mambo yatakua mabaya wananchi watainuka tu, mkuu life likiwa gumu watu wataandamana tu. Saivi pesa bado ipo mtaani.
Hamuwataki nyie kina nani?DP World wamekataliwa, si waache kwani lazima??
Hatuwatakiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Debe tupu hao, mwisho wa siku wataufyata tuhao wanaitwaga keyboard worrior mikwara mingi kumbe watupu.
Hayajawahi kumzuia ng'ombe kunywa majimakelele ya chura hayo
Sio kwa Tz hii.Mambo huanziaga humuhumu mitandaoni mkuu.
Hawa keyboard worrior tunaowadharau ipo siku watakua street worriors.
Kaa ufikiri hivyo hivyo, mradi ukumbuke tu, ndiyo wapo kwako sasa, wewe ambae si mtupu unafanya nini?hao wanaitwaga keyboard worrior mikwara mingi kumbe watupu.