Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 2,228
- 3,045
Kazi ya Mange hii🤣Sahivi kwenye page ya DP world ya Instagram hapatoshi, Watanzania wanaporomosha matusi hatari kwenye page za Waarabu.
DP world kazi wanayo.
View attachment 2660844View attachment 2660845
Akili za kibongo ndizo hizi, zimejaa hasira dhidi ya yale waliyotendewa mababu zetu zaidi ya miaka mia moja iliyopita. Zimejikita kwenye visasi vya kabla hata hawajazaliwa, poor african minds.Sahivi kwenye page ya DP world ya Instagram hapatoshi, Watanzania wanaporomosha matusi hatari kwenye page za Waarabu.
DP world kazi wanayo.
View attachment 2660844View attachment 2660845
NgombeKazi ya Mange hii[emoji1787]
NgombeUkiona mti unapopolewa ujuwe una matunda.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
kwa ushahidi upi?bro hebu fanya utafiti utaona ukweli wa dpworld ni kampuni yenye uwezo mkubwa mnoHao waarabu tunapata taarfa zao uku nje ni watu wa fujo kuharibu nchi za watu