Ni mtazamo wako, ila sijaona hoja yako. Ni avatar yako inanipa shida kwenye jinsia yako kwahiyo napata tabu kukujibuHiyo ni Pumba kuliko zote nilizowahi kuziona humu katika Jukwaa hili.
its absurd kuita hiiNa hiki ndio chanzo kikubwa cha ndoa nyingi, mahusiano mengi kuvunjika maana wanawake sio wale tena hawana tofauti na wanaume tena na wamekuwa wa kawaida sana
pasipo hojaHiyo ni Pumba kuliko zote nilizowahi kuziona humu katika Jukwaa hili.
Gaijin hii bold ipo sana wala hujiangaishi kuona maana ni jambo liko wazi, hapo kwenye red ndio kinachoniumiza maana kama mtoto anamuona dada anavaa hivi hawezi kuacha kuiga na dada hawezi kukemea maana tayari ni dhambi inayomtafunakuna kundi fulani la wanawake ambao wanavaa nguo za kuonyesha miili yao sana (kutokuvaa nguo za ndani hapa sijui vipi coz sijawahi kushuhudia), lakini nguo wanazovaa hazileti mafunzo mazuri kwa watoto.
hapa sijakupata vizuri, ila ni vyema kuvaa kwa kuheshimu maumbile na staha za maumbilehofu yangu ni kizazi kijacho kudhani uvaaji huo wa wazi ni bora kuliko wa kuvaa kwa kuheshimu mauombo yako mazuri uliyopewa na muumba
Why are you copying now?watu wanasahau kwamba hizi nguo tumeiga kwa wazungu na si jadi yetu!
Jamani...kwani hamuelewi nini....ishu ni kwamba siku hizi kuona maumbile ya ndani au nguo za ndani za wasichana wengi siyo ajabu kabisa....wapo wengi hawavai chupi au wakivaa wanahakikisha zinaonekana ...nie mnaishi anga zipi??? hata huko vijiweni tunapopata vinywaji huwa wanasema wenyewe....na ni wenye akili zao....yaani siku hizi kumsikia demu anakuambia mimi hapa sijavaa chupi kwenye maongezi ni kitu cha kawaida...
Hata mimi nasikitika watu wanapojifanya kuwa hawayaoni haya na kuna mabadiliko makubwa kwenye maadili ya KitanzaniaJamani...kwani hamuelewi nini....ishu ni kwamba siku hizi kuona maumbile ya ndani au nguo za ndani za wasichana wengi siyo ajabu kabisa....wapo wengi hawavai chupi au wakivaa wanahakikisha zinaonekana ...nie mnaishi anga zipi??? hata huko vijiweni tunapopata vinywaji huwa wanasema wenyewe....na ni wenye akili zao....yaani siku hizi kumsikia demu anakuambia mimi hapa sijavaa chupi kwenye maongezi ni kitu cha kawaida...
Nope Nyamayao, hatuwaongelei hao. Tunawaongelea hawa tunaointeract nao kila saa maofisini, makanisani, masokoni, mahakamani, vyuoni, kwenye daladala, kwenye foleni za benki, hospitalini, n.kmhhh nina mashaka, au mnazungumzia waliopo kwenye biznes na miili yao?
1.TARATIBU CHARITY,KWANI WEWE HUJAWAHI KUTELEZA KIDOGO KIMAANDISHI?........INAWEZEKANA KATELEZA KIDOGO KATIKA MAANDISHI YAKE JAPO ALIKUWA NA MAANA NZURI TU.Sema mkeo,sio wanawake wote wanatembea unavyosema au wamepooza unavyodai.Unless u-justify kuwa umewatest wanawake wote.
Ni kweli lakini hii ni sehemu ya jazbaSI JAzba.
Sema mkeo
Sijui kwanini mnang'ang'ania hii i see it illogical kwangu na wala sina huo mpangoumewatest wooooote?????
Okey ni sawa tuondoe hiyo wote lakini mimi naweka wengi wao, au hawajui kwasababu ya tabia hii ya kuiga?apa tunacholalamika ni kukusanya WANAWAKE WOOOOOOOOOTE....
Nashukuru maana utakuwa mmoja kati ya wakemeaji wa tabia hii mbovu na isiyokuwa na maslahi chanyaNI KWLI TABIA IYO MBAYA YA baadhi ya wanawake kuvaa vibaya ipo,.............wanavaa almost uchi..wala hawajiheshimu.............hii inatukera pia ata sisi wanawake
hili ndilo muhimu zaidi Rose1980tumwombe mungu labda wanawake wenzetu wantapata sense ya kuurudia utu
Huwa sikuwaziki kwenye kujadilinawasilisha braza n m sor if nimekukwaza bt try kuispesify nxt tm
Nashukuru kwa hili ulilomnenea MAMA yangu. She is a nice woman. Nakupenda Mama yangu mzazi kwa malezi yako MUNGU akupe maisha zaidi ulelee na wajukuu zako. Amennakataa afanyi ivyo ingawa sjamwona wala simjui lakin kwa kukusoma wewe up stair yako ikoje .thats ur gud bas naamini mama pia ni mtu mwenye maadili yake ndo maana aliweza kukukza kwenye busara na hekima..............
Asante Tall, kuteleza sio kuanguka, hiyo generalization imeshaeleweekaINAWEZEKANA KATELEZA KIDOGO KATIKA MAANDISHI YAKE JAPO ALIKUWA NA MAANA NZURI TU.
Hii nimeshaishuhudia wala sio mara moja na sio dhehebu moja, wanawake wanakuja ibadani uchi kabisa, wao sijui uchi mpaka utembee naked kabisa?!3.SIKATAI WAPO WANAOZIDISHA,KIUVAAJI, KUNA MAKANISA LEO,PALE MLANGONI WAZEE WAKANISA WAPO NA KANGA MKONONI UKIVAA KIHASARAHASARA UNAVALISHWA.
Hawa nao wengi tu na wanahitaji nidhamu iwekwe ndani yao, tutadili nao kwa kila njiaHATA HIVYO MKUU UMEONGELEA UPANDE MMOJA TU WA SHILINGI,JE WALE WANAUME WENZETU WANAO VAA SURUALI ULE MVAO WA KATA K VIPI?mara nyingi hawa ni makonda na wanafunzi......suruali inashushwa hadi unaona nanihii ileee na kila dakika anajaribu kuipandisha juu,dalili kuwa alivyovaa hata yeye anaona aibu.
Fidel80 mpaka wa kizamani wameathirika na wanachujisha vibaya
work on it FP maana ni laana(kwa upande wangu) inanisikitisha sana
Sasa siku hizi unaona chuchu ya mwanamke wazi kabisa toka asubuhi mpaaka jioni haiwezi tena kukusisimua. Mfano mafisadi wamekaa na mipesa kibao mpaaka mabilioni wanayaita vijisenti. Ni hatarimaana madawa ya kuongeza nguvu za kiume yanauzwa sana siuku hizi
Mkuu ni uwendawazimu huu wala sio kwenda na wakati, wakagombee udiwani na ubunge pamoja na kusoma ndio kwenda na wakatiLakini mkuu naona wanakwenda na wakati pengine.
That is because you are not looking around mkuu lakini ni rahisi sana kuona hata kama unatumia usafiri wako binafsi.wewe ushawahi kuona sehemu za siri za mwanamke barabarani na mara ngapi? mie bado sijawahi
Mfano hai wa athari za mavazi haya ni huu hapa:
Mimi ninafanya kazi mgodini, sehemu ambayo maeneo ya kazi hata makazi wanawake siyo wengi na pia walipo wanavaa nguo nzito za usalama mgodini na hivo mavazi ya kuonesha maungo ni nadra kuvaliwa! Ratiba ya kazi ni masaa 24 yenye shifts(12 by 12) na unafanya kazi kwa siku 59 na kupumzika mwzi 1. Eneo lenyewe nje ya mgodi pia si salama maana linasifika kwa "kugecha" hivyo mimi huwa sipendi kutoka kambini na kuzunguka mtaani kwa kuhofia usalama wangu! Sasa nikitoka kwenda off, nikiwaona wanawake wa mavazi haya yanayojadiliwa moyo hunienda mbio wiki ya kwanza nikiwa Dar na baadaye huyaona ni kawaida!
Nyie wabeijing mlioko hapa JF si ndio mnashadidia ndoa ya mke mmoja na mme mmoja na pia mnatarajia wanaume wenu wawe waaminifu. Sasa mnapotetea haya mavazi ya ajabu ajabu eti kwa sababu mababu zetu walivaa majani na kuacha matiti nje naona mnasahau kwamba ni hao hao mababu walikuwa na wanawake zaidi hata ya kumi, kwa hiyo mnataka kusema kwamba waume zenu wachukue wanawake hata 20 basi eeh kwa sababu mababu zetu walikuwa na wake wengi after all kama haya mavazi yanavaliwa kufuata tamaduni zetu then tuache kuwa wanafiki nyie vaeni hivyo na hao waume zenu waruhusuni wachukue wanawake wenzenu wengi tu. Ni lazima mfikie mahali muelewe ni kwa nini wanaume wanalalamikia haya mavazi. Kwa kifupi ni kwamba yanawaumiza wanaume and it is not fair at all na hii ni kwa faida yetu wote wanaume na wanawake. Msipotumia vzuri vichwa vyenu ubeijing wenu utaimaliza hii jamii.afadhali umeeleza charity, watu wanasahau kwamba hizi nguo tumeiga kwa wazungu na si jadi yetu!