Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,126
dada charity elewa kwamba huyu aliyeleta hii mada ni kijana,inwezekana hajaoa kwa hiyo haja anamalizia kwa hao anaowasema.dunia ya leo huwezi kupata mwanamke wa fasta mwenye maadili.cha msingi mkubalie kwamba tatizo hilo lipo na mshauri wanawake wenye joto wapo kibao na ni wengi kuliko hao wakaa uchi,atafute wake afuate taratibu aoe amtunze mkewe kwa maadili yote na hilo tatizo hataliona tena kwenye maisha yake.