Kulikoni ya wanawake na mavazi haya? Inasikitisha mnapoteza asili yenu

mnh ina maana kule saudi arabia wanakoshinda na mabaibui mambo yao ndio moto???msitake kutulazimisha na hili joto kuvaa nguo zinazotufanya tuive ndani kwa ndani...
mie hiii topik naona uzushi tuu....
Rose show some appreciation to our customs puh leez... loll kama joto ata usipovaa nguo...bado utalipata joto tuu...

anyway a woman don't have to wear abaya (mabaibui) u can wear decent & modest clothes that would still at the end of the day reflect a good image...
 
Rose show some appreciation to our customs puh leez... loll kama joto ata usipovaa nguo...bado utalipata joto tuu...
Noname baadhi ya watu wanapenda sana kuiga ila badhi ya wanawake wamezidi ona justification zao sasa ...eti joto. What is joto katika kukaa uchi? Kwenye maziwa/nyoyo kuna joto gani jama mpaka yaachwe wazi?
 
Kuna sehemu nilipita nikasikia masister duu wanaponda kuvaa nguo za vitenge niliwashangaa mikaendela na hamsini zangu
Unaona sasa Fidel80, halafu mtu mwingine hapa anauliza wanawake wa zamani walikuwaje, walikuwa wanishije, wanavaaje na leo wanafanya nini tofauti, makuti na magamba yameachwa lini, it doesnt hold water ili kujustify ukaaji uchi wa sehemu muhimu za mwanamke

Lazima wanawake wajue wamepewa heshima kubwa sana kwenye maumbile yao waache kuziba macho na masikio
 
Yaani ubeijing umewakaa vichwani hadi mnamiss the whole point. No disrespect intended lakini kama ukitumia common sense katika kusoma kile ambacho Mkuu Makoyo ameandika utaelewa anataka kuongea kitu gani.
I just put thanks there DW, maana kuna watu wanaelewa lakini wanawapotosha wengine, dhamira zenu zitaulizwa siku moja

Eti wanataka niwaambie nimetest wangapi...haingii akilini kabisa kuuliza swali kama hili...tujadili hoja ya msingi wanawake wanapoteza hamu ya mapenzi thats why kuna mmomonyoko mkubwa
 
utamwambiaje ukweli mtu usiyemjua,wee vipi???,,,kawaambie dada na mama zako huko!
Tuepushe jazba na matusi sio mahali pake hapa jamani. Tunajenga hoja tu ukikwazika unaweza kuhamia jukwaa jingine ukatuliza mzuka
 
Wewe wasema,
 
Tuepushe jazba na matusi sio mahali pake hapa jamani. Tunajenga hoja tu ukikwazika unaweza kuhamia jukwaa jingine ukatuliza mzuka

lakini hata wewe ligha uliyotumia na kuchukua wanawake kwa ujumla does it mean unawazungumzia pia bibi, mama, dada, na shangazi zako pia?
 
lakini hata wewe ligha uliyotumia na kuchukua wanawake kwa ujumla does it mean unawazungumzia pia bibi, mama, dada, na shangazi zako pia?
Hivi umetumia hata dk 1 kufikiria kile anachokusudia makoyo au umekurupuka tu. Nakukubali sana mom katika comments zako lakini hapa naona unataka kuchemka.
 
Uonavyo wewe Mom

ingekua vizuri zaidi ukiamua kumfuata yule unaemuona yu uchi direct na kumwambia haipendezi, ukiwatukana wote lets say what goes around come around..
 
Hivi umetumia hata dk 1 kufikiria kile anachokusudia makoyo au umekurupuka tu. Nakukubali sana mom katika comments zako lakini hapa naona unataka kuchemka.

wala cjakurupuka, je ningeanzisha topic hapa nikaipa heading WANAUME WOTE NI MALAYA mngenielewa? Wanawake siku hizi wamepooza, wabaridi hawana ladha tena hii sentence imakaa kiudhalilishaji kwa wanawake
 
Taratibu..hapo kwenye bold mhhh..how about wanaume nao wakiitwa nyie Guantano Bay au Tora Bora?....haipendezi namna hiyo kuwakejeli wanawake ...... huo msemo haujengi badala yake unafanya ishu unayoileta ionekane y akipuuzi isiyostahili kujadiliwa kwa kina.
 
wala cjakurupuka, je ningeanzisha topic hapa nikaipa heading WANAUME WOTE NI MALAYA mngenielewa? Wanawake siku hizi wamepooza, wabaridi hawana ladha tena hii sentence imakaa kiudhalilishaji kwa wanawake
Ni kweli hujakurupuka ila UMEKURUPUSHWA, wewe unataka ikaaje iondoe udhalilishaji? Lakini hoja ya msingi umeiona? Au ? Je ina mashiko au haina?
 
Ni kweli hujakurupuka ila UMEKURUPUSHWA, wewe unataka ikaaje iondoe udhalilishaji? Lakini hoja ya msingi umeiona? Au ? Je ina mashiko au haina?
joja nimeielewa vizuri lugha ulotumia tu? ebu imagn mfano ungeuliza "kulikoni wanawake na mavazi haya?" then ndani ukaeleza yale yalokichwani mwako? bt haya ni mawazo yangu tu! nimesoma topic yako na comments zote nimeshtuka ulivyosema roselyne aache matusi hali nawe umetumia ligha hiyohiyo!
 
Mokoyo kama hawa waliojipanga hapa, wanapata baridi eeeeeeeeh maana mapaja nje nje, ukiwa na ............ za kuku unaweza kojoa uhai hadharani.
 
Mokoyo kama hawa waliojipanga hapa, wanapata baridi eeeeeeeeh maana mapaja nje nje, ukiwa na ............ za kuku unaweza kojoa uhai hadharani.
Duh! Kama hao waliokaa, achana na huyo anayepita jukwaani, halafu kwa mbali hapo kuna mwanaume ana dread amevaa shati jeupe yaaani huyo akirudi home kwake ameshabemendwa longtime hana upupu tena.
 
Hivi hadi leo hii hujajua tu kwamba wanawake ni wazuri zaidi kwenye communication skills kuliko wanaume, at least ndivyo inavyodhaniwa japokuwa cna ushahidi wa haya. Btw kumbe point ushaipata so y r fussing about jina la mada after all hakuna sehemu hapo kwenye mada inayosema wanawake wote. Read btn words mama.
 
sishangai kupata comment kama hii kutoka kwako maana we ndo mbeijing namba 1 hapa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…