Kulikoni

Kulikoni

KENET

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Posts
259
Reaction score
86
Ni pale ninaposikia tangazo kwenye TV CHUO fulani kikitangaza kuwa kinatoa kozi zifuatazo;
Diploma in IT ya Uingereza,au Diploma in clearing and forwarding ya Uingereza.
Swali kwa nini wasisema Diploma in IT au Diploma in Clearing and forwading basi na badala yake lazima aongezee neno kwamba ni Diploma ya Uingereza.
 
Back
Top Bottom