Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,727
- 8,785
Zamani kupanda cheo ilikuwa lazima uwe na vigezo,Sasa hivi watendaji wote lazima uwe pro Chawa ndiyo utakula mema ya Nchi,ukishupaza shingo tu utakula jeuri yakoHii safari ya Boti kusafirishwa kutoka Mtwara hadi Mwanza naona inatangazwa sana mitandaoni
Cha ajabu sasa kwenye hiyo boti kuna bango limeandikwa UOKOZI ZIWA VICTORIA lakini kuna picha ya Samia na nembo ya CCM
Je hii ni kampeni dhidi ya CCM? Na Hii safari naona kama ina lengo la kuwatoa watanzania nje ya reli wasahau habari za Gwajima na NO REFORM NO ELECTION
Nimewaza tu.
View attachment 3359622
Waweke ya Heche na ChademaHii safari ya Boti kusafirishwa kutoka Mtwara hadi Mwanza naona inatangazwa sana mitandaoni
Cha ajabu sasa kwenye hiyo boti kuna bango limeandikwa UOKOZI ZIWA VICTORIA lakini kuna picha ya Samia na nembo ya CCM
Je hii ni kampeni dhidi ya CCM? Na Hii safari naona kama ina lengo la kuwatoa watanzania nje ya reli wasahau habari za Gwajima na NO REFORM NO ELECTION
Nimewaza tu.
View attachment 3359622
No reform no ElectionWaweke ya Heche na Chadema
Serious?Je hii ni kampeni dhidi ya CCM? Na Hii safari naona kama ina lengo la kuwatoa watanzania nje ya reli wasahau habari za Gwajima na NO REFORM NO ELECTION
Uchawa tu,Kulikua na sababu gani ya kuweka bango lenye picha ya Rais Samia na nembo ya CCM kwenye hii boti?
Ndo vzr, tutapigia punyeto!Hawa hata chooni wanaweza kuweka picha ya Samia.
KWANI WE UMEPUNGUKIWA NINI?Hii safari ya Boti kusafirishwa kutoka Mtwara hadi Mwanza naona inatangazwa sana mitandaoni
Cha ajabu sasa kwenye hiyo boti kuna bango limeandikwa UOKOZI ZIWA VICTORIA lakini kuna picha ya Samia na nembo ya CCM
Je hii ni kampeni dhidi ya CCM? Na Hii safari naona kama ina lengo la kuwatoa watanzania nje ya reli wasahau habari za Gwajima na NO REFORM NO ELECTION
Nimewaza tu.
View attachment 3359622
Maigizo au Comedian za CCM. Hapa kinacholengwa ni mamilioni ya kura za Wanakanda ya ziwa!¥¥¥Hii safari ya Boti kusafirishwa kutoka Mtwara hadi Mwanza naona inatangazwa sana mitandaoni
Cha ajabu sasa kwenye hiyo boti kuna bango limeandikwa UOKOZI ZIWA VICTORIA lakini kuna picha ya Samia na nembo ya CCM
Je hii ni kampeni dhidi ya CCM? Na Hii safari naona kama ina lengo la kuwatoa watanzania nje ya reli wasahau habari za Gwajima na NO REFORM NO ELECTION
Nimewaza tu.
View attachment 3359622
Hiyo miaka mitano ataongozavipiMama hauziki,kwa hiyo inabidi nguvu nyingi zitumike.