Kulikua na sababu gani ya kuweka bango lenye picha ya Rais Samia na nembo ya CCM kwenye hii boti?

Kulikua na sababu gani ya kuweka bango lenye picha ya Rais Samia na nembo ya CCM kwenye hii boti?

ujue nimekaa muda sana nikatafaKari Kwa Kina nikaona mbona Kuna utoto sana inakuaje Hii.
 
Mwanzo haikuepo .wameona ina angaliwa sana wakaenda kubandika
 
Hii safari ya Boti kusafirishwa kutoka Mtwara hadi Mwanza naona inatangazwa sana mitandaoni

Cha ajabu sasa kwenye hiyo boti kuna bango limeandikwa UOKOZI ZIWA VICTORIA lakini kuna picha ya Samia na nembo ya CCM

Je hii ni kampeni dhidi ya CCM? Na Hii safari naona kama ina lengo la kuwatoa watanzania nje ya reli wasahau habari za Gwajima na NO REFORM NO ELECTION

Nimewaza tu.

View attachment 3359622
 

Attachments

  • file_00000000a19c61f7a8a31c72919aef6b.png
    file_00000000a19c61f7a8a31c72919aef6b.png
    2 MB · Views: 12
Back
Top Bottom