Kulikuwa na haja gani Jinbril kumkaba Muhammad akimlazimisha kusoma?

Kulikuwa na haja gani Jinbril kumkaba Muhammad akimlazimisha kusoma?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Hii inatafakarisha sana. Huyu kiumbe Jin anamlazimisha Muhamad kusoma. Maskini Muhamad hakuwa ameenda shule. Kama ni Malaika basi alipaswa awe na hizo taarifa. Lakini hakupewa. Akawa anamlazimisha Mtume asome akiwa amempiga Kabali nusu ya kumuua.

Mtume akasema akiwa anahema kwa "shida sijui kusoma" Huyu Kiumbe akaona anadanganywa kuwa Mtume atakuwa muongo. Akambana zaidi akimtaka asome. Mara tatu zote anambana mpaka roho inataka kutoka. Akaridhika kuwa ni kweli jamaa hajui kusoma.

Mtume akaondoka ana hofu anatetemeka kukutana na Jini pangoni limemkaba. Akaenda kwa Bi Khadija ambaye aliposimuliwa akaona fursa. Akampeleka kwa Mtaalamu wa Maandiko ya Injili( Injili ipi hiyo?)

Huyu akamwambia huyo atakuwa Jibril. 🤣 Huyu Mtaalamu amejuaje huyo ndo Jibril? Ni wapi Jibril wa Wayahudi alikaba watu kabali kuwalazimisha jambo? Mtume akalibeba. Huyo mtaalamu ni ndugu yake Khadija. Connect the dots.

(Kutoka Sahih al-Bukhari – Kitabu cha 1, Hadithi ya 3)

Muhamad alikuwa akienda peke yake katika pango la Hira kwa siku kadhaa na usiku ili kujitafakari. Huko alikuwa akibeba chakula chake na kurudi kwa Bibi Khadija kuchukua tena.

Kisha alimjia Jini/Kiumbe (Malaika???) na kikamwambia:

"Soma!"
Mtume akasema:

"Sijui kusoma."

Kiumbe hicho kikamkaba kwa nguvu mpaka akahisi kama anakata roho, kisha kikamwachia na tena kumwambia:

"Soma!"

Muhamad akajibu tena:
"Sijui kusoma."

Na hali hiyo ikajirudia mara tatu. Kisha kiumbe kikasema:

"Soma kwa jina la Mola wako aliyeumba. Amemuumba mwanadamu kwa tone la damu. Soma! Na Mola wako ni Mkarimu mno..."

Bado pamoja na kuamriwa kusoma kwa jina la mola wake Muhamad ambacho kilisema ni Mkarimu. Hakuweza pewa uwezo wa kusoma
(Surat Al-‘Alaq: 1-3)

Baada ya hayo, Bi Khadija alimpeleka kwa binamu yake aitwaye Waraqa bin Nawfal, ambaye alikuwa mjuzi wa maandiko ya kale (Injili), naye akamweleza Muhammad kuwa kile alichokiona ni Malaika Jibril aliyemjia kama alivyomjia Musa (a.s.). Nawaqal alikuwepo wakati wa Musa? Alijuaje na Musa ameelezea wapi alikabwa?

Chanzo cha simulizi:

Simulizi hii inapatikana katika:

Sahih al-Bukhari, Kitabu cha Mwanzo wa Wahyi (Kitab Bad’ul-Wahy)

Sahih Muslim
Vitabu vya sirah (wasifu wa Mtume) kama vile Sirat Ibn Hisham.
 
Yani stori za hawa jamaa🤣🤣🤣..
🚮🚮🚮🚮

Maisha yaendeleee tu.
✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️
 
Unaambiwa siyo kumkaba tu alimshushia kibano cha haja. Jibril alikuwa anamuambia andika hapa soma hapa mudy akawa anabung'aa tu Jibril akamaind na kusema this isbullshit na kuanza kumtembezea vitasa vya maana.
 
Halafu leo hii mnataka watu hawa wapate TWO ya 18 kule Zanzibar.
Mama aliupiga mwingi sana kupata FOUR ya mwisho mpakani na Zero.
 
Inafikirisha sana.
Na ndio maana mara kwa mara naulizaga hapa. Je Allah anajua kiarabu?.

Hoja yangu nimeijenga hivi.
Jibril ni Malaika na ni mjumbe wa Allah.
Akatumwa kwa Mohamed.
Hii soma soma ina maana Allah aliandika barua kwenda kwa Mohamed na sio maneno.

(Allah ameandika kwa mkono wake tena kwa kiarabu😁😁😁)

Ina maana mjumbe Jibril alipeleka ujumbe wa maneno yanayotoka kwa allah.

Sasa Hivi allah hakujua kuwa mohamed hajui kusoma wala kuandika?. Na akakomaa kumuandikia barua na kumpa jibril aipeleke 😂😂😂😂

Na baadae wanasema ni wahyi.
Wahyi ni ufunuo. Sasa ufunuo unakuwaje wa maneno ya allah.
Wahyi ulikuwa unakuja kwa ndoto.
Sasa ndoto ni maneno?😁😁😁

Sawa utasema Allah anaweza kukufikishia ujumbe kwa lugha yoyote hata kiswahili.
Sikatai. Ila allah ataandika kwa kiswahili? Au kwa kisukuma? Kwa mkono wake? Kwenye karatas au kwenye ngozi? . Na peni gani? Au chaki😂😂😂.

Alaf Je hakujua mtume aliyemchagua hajui kusoma?

Na Kwann asingemtuma jibril na kusema maneno tu kama alivyokuwa kwa Mussa na mitume wengine?.

Ukifikiria haya unaona kabisa it doesnt make sense.
 
Zayd bin Harithah ni nani?

Alikuwa mtumwa aliyepewa Mtume Muhammad, ambaye alikombolewa na kupendwa kama mwana.

Mtume Muhammad alimchukua kama mwana wa kufikia (adopted son) na watu walimuita "Zayd bin Muhammad" kwa muda.

Lakini baadaye Mtume alikataza kuita watoto wa kufikia kwa majina ya wale waliowalea, ikasisitiza waitwe kwa jina la baba zao wa kweli: akijitengenezea mazingira ya kuja Mgegeda huko mbeleni maana alishampenda.

“Waiteni kwa baba zao; huo ndio uadilifu mbele ya Mwenyezi Mungu...”
(Surah Al-Ahzab 33:5)

Zaynab bint Jahsh ni nani?

Alikuwa binamu wa Mtume Muhammad.

Aliolewa na Zayd bin Harithah kwa ushauri wa Mtume.

Ndoa yao haikudumu, wakatengana (Zayd alimpa talaka Zaynab) baada ya kuwa na mifarakano kila wakati mwanamke akijazwa upepo na Muhamad na kupewa kiburi.

Muhamd anasema kwamba ndoa hii ilitokea kwa amri ya Mwenyezi Mungu, ili kuvunja mila ya Waarabu ya kuona aibu mtu kumuoa mke wa zamani wa mwana wa kufikia, jambo ambalo halina msingi wa kisheria (kwa sababu si mwana wa damu).

(Surah Al-Ahzab 33:37)

Miaka hiyo moja ya mambo hatari ambayo mtu angekutana nayo ilikuwa kuwa na mke mzuri na Muhamad akamwona. Angekufitinisha umwache amwoe yeye. Au angesema amepokea wahyi amchukue mke wako kutimiza tamaa zake za kingono.
 
Yani stori za hawa jamaa🤣🤣🤣..
🚮🚮🚮🚮

Maisha yaendeleee tu.
✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️
Mudi alikuwa na fantasy na illusion tu. Alikuwa anaanzisha uislam kwa kujifurahisha.
 
Back
Top Bottom