Kulikuwa na haja gani Putin kuwaua wale marubani na muhudumu wa Ndege badala ya Prigozhin pekee yake?

Una uhakika gani? Putin kahusika au fikra hizo zimekuja kutokana na msongo wa mawazo unaopitia baada kupigwa na maisha sasa umebaki na smartphone kwa ajili ya kuangalia ngono
 
Amuka
 
Fighter jets za Gaddafi zilikuwa wapi??
 
Mkuu Putin kawaulisha wanajeshi wake Ukraine kama mende na hakujali akaendelea kuwasajili vijana wenye umri wa kati wakauliwa na hakutosheka mpaka wafungwa kawapeleka na bado Russia ni msako msako ukizubaa vitani, yeye hajali, wale wanajeshi wa Wagner zaidi ya 22,000 wameenda na maji mpaka boss wao Prigozhin akasema bora waache Bakhmut wataendelea kumalizwa walikuwa wanajeshi zaidi ya 50000 wakatimua zao
 
Wanatoka kwa US, UK, EU, wanaenda kwa China na Urusi.
Nchi za Afrika zinatakiwa zisiwe na urafiki na nchi yoyote ile zaidi za nchi za Afrika.
Wafrika wanatakiwa watumie rasilimali zao, wajinufaishe wenyewe.
Niger, Kikosi cha Wagner kinachukua dhahabu na mali zingine wanapelekwa Urusi.
Nchi zozote iwe Urusi, China, Marekani, ufaransa na zingine ni kukata mawasiliano nao.
Ukishajua kwanini mrusi anapigana vita na Ukraine, basi hana huruma hata wewe.
Sri lanka baada ya kushindwa kulipa mkopo wa China, ikachukua bandari miaka 100.
 
Na huo ndiyo ukweli pamoja Mimi ni mfuasi wa Putin
 
Jamaa lipumbavu sana lioga kama kuku,halafu linatanguliza wenzao wakafe Ukraine,kama linauchugu lishike bunduki likapigane
 
Ukikaa karibu na uaridi lazima unukie sasa wewe ulizani ni kwenye pilau tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…