Viongozi wa Afrika uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana.
Wao wanafikiri Russia na China watakuwa msaada sana kwao kumbe wanawekwa kwenye mtego ili rasilimali zote ziende China na Russia.
Baada wajitoe kwenye mfungamano, watengeneze umoja wao Afrika ila wanaenda kwa mkoloni mwingine.
Putin anamuonea wivu sana Marekani, mfaransa na Uingereza kwa kuchukua mali nyingi sana kwahiyo miaka inayokuja baadhi ya nchi zitakuwa ni koloni la mrusi na mchina.
Nchi za Afrika hawajifunzi kwa Ukraine. Kwanini Urusi anaipiga Ukraine? Ukishapata jibu basi ujue Urusi hana nia njema na bara la Afrika.