Kulikuwa na sababu gani haswa ambazo zilipelekea Rais Mstaafu Kikwete kuweka jiwe la msingi Bandari ya Bagamoyo kabla ya Mikataba kusainiwa?

... kwakweli nchi hii ina mashida mengi! ... yaani kundi moja la wanasiasa linaweza kukosesha wananchi maendeleo kwa sababu tu pendekezo limetolewa na kundi shindani! ... yaani hata unakuta mtu kakomaza mishipa ya shingo kusema ati 'mradi wa Bagamoyo, bandari etc, ' si suala la kufa na kupona kwa sababu tu muasisi ni mzee wa msoga ... anyway, kisayansi mradi wa bagamoyo uko mbali na misongamano ya jiji kongwe la DSM na hivyo umekaa kiuendelevu zaidi kwa vizazi vijavyo na hata ukiifuta bandari ya Dar ni vizuri zaidi!
WACHAWI KOMAZENI SHINGO ZENU!
 
Hebu Lete na video Jk akisaini Mkayaba,sijakosea Mkayaba!
 
Unafiki dhambi, Assad kila mwaka alitoa ripoti ya ufisadi wa wafanyakazi hewa, ila JK alikuwa zezeta aliyeacha nchi ijiendee tu.
Kuonyesha kuwajibika angebwaga manyanga,ndo tungejua Yuko serious.
 
Ni mmoja wa wahuni anaosema Polepole

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Una muuliza Nani.
 
Alidhani Jabali la Afrika ni zuzu,kwamba lingeuendeleza mradi kwa vile limeukuta. Angekuwa mteule wake Membe hapo angaendeleza.
Kichaa tu yule hakuwa na ujabali wowote, Sasa bandari itajengwa chini ya Samia, na hakuna kenge wakuzuia, Na Rais ajae baada ya Samia Ni January Makamba ( Syteam inamuaandaa Sasa) mipango yote itakayobakia baada ya Samia 2035, January atakuja kuimalizia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…