Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
Kikwete Hana tofauti na form 4 failure anayetuongoza sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... kwakweli nchi hii ina mashida mengi! ... yaani kundi moja la wanasiasa linaweza kukosesha wananchi maendeleo kwa sababu tu pendekezo limetolewa na kundi shindani! ... yaani hata unakuta mtu kakomaza mishipa ya shingo kusema ati 'mradi wa Bagamoyo, bandari etc, ' si suala la kufa na kupona kwa sababu tu muasisi ni mzee wa msoga ... anyway, kisayansi mradi wa bagamoyo uko mbali na misongamano ya jiji kongwe la DSM na hivyo umekaa kiuendelevu zaidi kwa vizazi vijavyo na hata ukiifuta bandari ya Dar ni vizuri zaidi!Swali langu ni moja tu, zaidi ya wanasiasa, je nchi hii kuna vyombo vinavyoangalia na ku define maslahi ya taifa? So mwanasiasa mmoja na kikundi chake wakiamua jambo nchi nzima inaingia kwenye shimo hata kama jambo hilo halina maslahi kwa taifa? Ni swali mwenye (we) akili wanisaidie kujibu.
Hebu Lete na video Jk akisaini Mkayaba,sijakosea Mkayaba!Usichanganywe na wanasiasa!!
Waziri naye aliongea hata hajui aliongea nini!!
Viongozi wetu kila mtu na lake, hakuna wa kumuamini si heri wakaweka wazi kuhusu huo mkataba.
Magufuli alisema yake , wananchi hawakuonyeshwa mkataba.
Waziri naye leo kasema yake ati hakuna mkataba uliosaniwa. Wakati video clips zinaonyesha enzi Kikwete anasaini na watu walishuhudia.
Yaani sarakasi utafikiri nchi hii wasomi ni wanasiasa tu.
Inaumiza!!
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kuonyesha kuwajibika angebwaga manyanga,ndo tungejua Yuko serious.Unafiki dhambi, Assad kila mwaka alitoa ripoti ya ufisadi wa wafanyakazi hewa, ila JK alikuwa zezeta aliyeacha nchi ijiendee tu.
Ni mmoja wa wahuni anaosema PolepoleIlikuwa Oktoba 16, 2015 pale Bagamoyo ambapo Rais wa wakatiuo Jakaya Mrisho Kikwete aliweka jiwe la msingi kuashiria ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo unaanza rasmi huku akiwa Mkurugenzi wa kampuni itakayojenga Bandari hiyo.
Zoezi ilo lilifanyika siku 8 tu kabla ya Uchaguzi mkuu ambapo Mh Jakaya Kikwete alikuwa amalize mdawake wa utumishi wa uRais.
Muda ulisonga Jakaya Kikwete akamaliza mdawake wa uongozi wa nchi akapatikana mrithi wake ambae alikuwa Mh John Pombe Joseph Magufuli ambapo kwa upande wake aliuelezea mradi wa Bagamoyo kuwa ulikuwa na Masharti ambayo yangeifirisi nchi huko mbeleni, ufafanuzi huu pia ulitolewa na Engineer Kakoko ambae alikuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania bapo kwasasa uteuzi wake ulishatenguliwa na pia Bwana Mkinga ambae alikuwa mjumbe wa Bodi ya TPA mnamo May 05, 2019 akihojiwa na Star Tv pia alipinga masharti yaliyokuwa waliyoweka Wachina ili kutekeleza mradi uo.
Mjumbe wa Bodi ya TPA Renatus Mkinga alifariki dunia May 25 2021 kabla ya kuvunjwa kwa Bodi ya Tasac na Mh Samia Suluhu Hassan.
Kwasasa Mh Samia Suluhu Hassan alilielezea Taifa Mazungumzo ya Mradi wa Bagamoyo yataanza tena mara baada ya kusimama kipindi cha mtangulizi wake Hayati Magufuli aliefariki March 17 202, huku akiahidi kuanza tena upya kabisa kama kama hakukuwa na majadiliano yoyote katika awamu ya 5, Mh samia kuhusu ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kwake anaanza alipoishia Jakaya Kikwete na sipo alipoishia John Pombe Magufuli.
Waziri Mwambe ambae ni Waziri wa Uwekezaji alilieleazea taifa kuwa hakukuwa na mkataba wowote uliowah kusainiwa juu ya ujenzi wa Bandari iyo ya Bagamoyo kitu ambacho kimezua minong'ono ya watu wakijiuliza ilikuwaje kuanzisha mradi pasi kuwa na mkataba kipindi cha awamu ya nne?
Kulikuwa uwalaka gani haswa kama hakukuwa na mkataba?
Je, Mchina angejenga Bandari bila Mkataba? Ikumbukwe kuwa utaratibu unatakiwa Mkataba usainiwe ndipo jiwe la msingi lije kuwekwa ambapo baada ya kusainiwa mkataba mkabdarasi anatakiwa apewe miezi 6 yakuleta mitambo yake ili aanze ujenzi, na utaratibu ulivyo ukiweka jiwe la msingi ni kiashiria mradi unaanza rasmi sasa na ni sawa mkandarasi umemkabidhi eneo lake.
Watanzania tutamkumbuka na kumlilia nani juu ya sarakasi za Bandari ya Bagamoyo?
Uprofesa wa mchongoKikwete ndiye Raisi pekee aliyepewa UPROFESA wa heshima na China.
Nawakumbusha tu.
🤣🤣🤣🤣🤣Na baada ya "Jabari", sasa kaingia nani?
Si alikuwa anatoa mapendekezo? Kama hayakufanyiwa kazi kwanini hakuachia ngazi?Cag kazi yake kumaliza ufisadi!!?..na takukuru?!
Una muuliza Nani.Ilikuwa Oktoba 16, 2015 pale Bagamoyo ambapo Rais wa wakatiuo Jakaya Mrisho Kikwete aliweka jiwe la msingi kuashiria ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo unaanza rasmi huku akiwa Mkurugenzi wa kampuni itakayojenga Bandari hiyo.
Zoezi ilo lilifanyika siku 8 tu kabla ya Uchaguzi mkuu ambapo Mh Jakaya Kikwete alikuwa amalize mdawake wa utumishi wa uRais.
Muda ulisonga Jakaya Kikwete akamaliza mdawake wa uongozi wa nchi akapatikana mrithi wake ambae alikuwa Mh John Pombe Joseph Magufuli ambapo kwa upande wake aliuelezea mradi wa Bagamoyo kuwa ulikuwa na Masharti ambayo yangeifirisi nchi huko mbeleni, ufafanuzi huu pia ulitolewa na Engineer Kakoko ambae alikuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania bapo kwasasa uteuzi wake ulishatenguliwa na pia Bwana Mkinga ambae alikuwa mjumbe wa Bodi ya TPA mnamo May 05, 2019 akihojiwa na Star Tv pia alipinga masharti yaliyokuwa waliyoweka Wachina ili kutekeleza mradi uo.
Mjumbe wa Bodi ya TPA Renatus Mkinga alifariki dunia May 25 2021 kabla ya kuvunjwa kwa Bodi ya Tasac na Mh Samia Suluhu Hassan.
Kwasasa Mh Samia Suluhu Hassan alilielezea Taifa Mazungumzo ya Mradi wa Bagamoyo yataanza tena mara baada ya kusimama kipindi cha mtangulizi wake Hayati Magufuli aliefariki March 17 202, huku akiahidi kuanza tena upya kabisa kama kama hakukuwa na majadiliano yoyote katika awamu ya 5, Mh samia kuhusu ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kwake anaanza alipoishia Jakaya Kikwete na sipo alipoishia John Pombe Magufuli.
Waziri Mwambe ambae ni Waziri wa Uwekezaji alilieleazea taifa kuwa hakukuwa na mkataba wowote uliowah kusainiwa juu ya ujenzi wa Bandari iyo ya Bagamoyo kitu ambacho kimezua minong'ono ya watu wakijiuliza ilikuwaje kuanzisha mradi pasi kuwa na mkataba kipindi cha awamu ya nne?
Kulikuwa uwalaka gani haswa kama hakukuwa na mkataba?
Je, Mchina angejenga Bandari bila Mkataba? Ikumbukwe kuwa utaratibu unatakiwa Mkataba usainiwe ndipo jiwe la msingi lije kuwekwa ambapo baada ya kusainiwa mkataba mkabdarasi anatakiwa apewe miezi 6 yakuleta mitambo yake ili aanze ujenzi, na utaratibu ulivyo ukiweka jiwe la msingi ni kiashiria mradi unaanza rasmi sasa na ni sawa mkandarasi umemkabidhi eneo lake.
Watanzania tutamkumbuka na kumlilia nani juu ya sarakasi za Bandari ya Bagamoyo?
Kichaa tu yule hakuwa na ujabali wowote, Sasa bandari itajengwa chini ya Samia, na hakuna kenge wakuzuia, Na Rais ajae baada ya Samia Ni January Makamba ( Syteam inamuaandaa Sasa) mipango yote itakayobakia baada ya Samia 2035, January atakuja kuimaliziaAlidhani Jabali la Afrika ni zuzu,kwamba lingeuendeleza mradi kwa vile limeukuta. Angekuwa mteule wake Membe hapo angaendeleza.
Unaugua kichaaSi alikuwa anatoa mapendekezo? Kama hayakufanyiwa kazi kwanini hakuachia ngazi?
Poleni Sana ndo ugonjwa unaowatesa ukoo wenu?Unaugua kichaa