Milioni mbiliHela kidogo ndio shilling ngapi boss?
Nunua bodabodaWakuu naomba ushauri nimepata hela kidogo ambayo inatosha kununua boda moja au kulima hekari mbili za Viazi Njombe.
Matarajio:
Boda: kuwa napata 70'000 kwa wiki sawa na 280'000(12)=3'360'000 kwa mwaka(mkataba)
Viazi: Naambiwa kwa viazi vya kumwagilia output ni gunia ni 60-100(40'000-60'000)=2'400'000 au 3'600'000) makadilio ya gunia 60 kwa bei ya 60'000(gunia) ndani ya miezi 3-5 Hekari moja
Mwenye uelewa na aina hizi mbili za ujasiriamali
Ushauri wadau
Sawa mkuuLima viazi sababu unaweza lima mara mbili kwa mwaka,so boda utagombana sana na dereva wako maana kuna muda anaweza kukulimbikizia maden,kuna msemo watu wanausahau, jembe halimtup mkulima,ukikosa msimu mmoja lima msimu unaofuata,so kwa upande wng kilimo ni bora zaid. Tena ukipata shamba nam niandalie heka mbili nije
Vyote ni risk inategemea na uwezo wako wa kusimamia kwa urahisi.Wakuu naomba ushauri nimepata hela kidogo ambayo inatosha kununua boda moja au kulima hekari mbili za Viazi Njombe.
Matarajio:
Boda: kuwa napata 70'000 kwa wiki sawa na 280'000(12)=3'360'000 kwa mwaka(mkataba)
Viazi: Naambiwa kwa viazi vya kumwagilia output ni gunia ni 60-100(40'000-60'000)=2'400'000 au 3'600'000) makadilio ya gunia 60 kwa bei ya 60'000(gunia) ndani ya miezi 3-5 Hekari moja
Mwenye uelewa na aina hizi mbili za ujasiriamali
Ushauri wadau
Naomba kujua mkuu miez mizur ya kulima viaz vya kumwagilia,,Nauzoefu wa hizo biashara mbili... BT kilimo cha umwagiliaji kama utakua na usimamiz mzur gunia ztatoka Zaid hizo.. Viaz vya kumwagilia havna gharama kubwaa coz haviitaji madawa madawa hapo ni gharama ya mabomba na usimamiz tuu.. Karbu ulime mkuu
Nina utayal mkuuNunua boda mzee hizo ishu za kilimo zinahitaji usimamizi na uangalizi wa hali ya juu kitu ambacho unatakiwa uwe na utayari nacho...
Samahani mkuu kwa Dar es salaam naweza pataje mbegu za viazi?Nauzoefu wa hizo biashara mbili... BT kilimo cha umwagiliaji kama utakua na usimamiz mzur gunia ztatoka Zaid hizo.. Viaz vya kumwagilia havna gharama kubwaa coz haviitaji madawa madawa hapo ni gharama ya mabomba na usimamiz tuu.. Karbu ulime mkuu
Mahindi yanauzwa wapi mkuu na gharama plzKwanza malipo ya boda boda sio 70,000 kwa wiki... Achana na biashara ya kilimo kama mtaji ni huo milioni mbili tu maana ni hatari, unaweza tegemea utavuna gunia 60 ukapata kumi tu, ukategemea bei 60,000/= ukakuta bei ni 30-40,000/= ,bora uende ukanunue mahindi kipindi hiki uyahifadhi uje uuze mwezi wa kumi na mbili risk ni ndogo sana, changamoto ni storage tu
Ni kweli kabisa kwa Viazi vya Umwagiliaji kwa uzoefu wangu Unaweza kuvuna kuanzia Gunia 120 na kuendelea kwa Hekari Moja.Nauzoefu wa hizo biashara mbili... BT kilimo cha umwagiliaji kama utakua na usimamiz mzur gunia ztatoka Zaid hizo.. Viaz vya kumwagilia havna gharama kubwaa coz haviitaji madawa madawa hapo ni gharama ya mabomba na usimamiz tuu.. Karbu ulime mkuu