Wakuu naomba ushauri nimepata hela kidogo ambayo inatosha kununua boda moja au kulima hekari mbili za Viazi Njombe.
Matarajio:
Boda: kuwa napata 70'000 kwa wiki sawa na 280'000(12)=3'360'000 kwa mwaka(mkataba)
Viazi: Naambiwa kwa viazi vya kumwagilia output ni gunia ni 60-100(40'000-60'000)=2'400'000 au 3'600'000) makadilio ya gunia 60 kwa bei ya 60'000(gunia) ndani ya miezi 3-5 Hekari moja
Mwenye uelewa na aina hizi mbili za ujasiriamali
Ushauri wadau