me sifahamu ata nakaaga ata miezi sita sijaduuWakuu nimeona mimi binafsi yangu nikimaliza kufanya tendo la ndoa presha yangu inapanda, na nikifululiza kuhondomola uzito wa mwili wangu unapungua, sasa ni nauliza kama kuna kiwango fulani kiafya kilicho wekwa, muniambie ili na mimi pamoja na wengine wenye tatizo kama la kwangu tujue.
Inategemeana na kazi unazofanya including aina ya vyakula unavyokula sana. Mapenzi ni mahusiano ya akili na mwili sasa mazingira pia lazima yakushawishi. In short hii mada ni pana ujue hata mkeo anaweza kuwa motisha ya kukufanya utamani tendo hilo kila wakati. Sasa imagine mkeo ni mchafu, yuko bize muda wote, mkali na mengineyo.